ujumbe

  1. K

    Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

    Kwema jamani? Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu? Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima. Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
  2. K

    Hili la kulipia kibao cha namba za Makazi Watanzania wenzangu na ninyi ujumbe umewafikia?

    Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena? Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
  3. T

    Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine... Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
  4. H

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
  5. Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

    Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele. Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania. NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
  6. B

    Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

    Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake: Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi. Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
  7. M

    Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  8. Kichekesho hichi kifupi kimebeba ujumbe mkubwa sana juu ya Afrika.

    Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu . Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake. Asanteni
  9. Ujumbe maalumu kwa vijana mnaoona maisha magumu

    UJUMBE MAALUMU KWA VIJANA MNAOONA MAISHA MAGUMU! Anaandika Robert Heriel! Sipendi kusema mafanikio yangu ni yapi, na wengi watataka kuniuliza nina mafanikio gani mpaka niwe mshauri kwao. Sipendi kuyataja mafanikio yangu Kwa sababu hayatawasaidia Jambo lolote, lakini nitatoa Siri ndogo Sana ya...
  10. Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

    Habari! Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri, huwa hapigi mswaki kabisa au anapiga kwa matukio. Hii hali nilikuwa najitahid kuivumilia kwa...
  11. Siasa: April 2020 imebeba ujumbe mzito!

    Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' . Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa. Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa miaka sita amefanya vizuri. Kwa hatua hiyo Rais anapata faida ya ziada ya kuelewa kilichopo akilini...
  12. S

    Kinana apata mapokezi ya kishindo Dar

    MATUKIO KATIKA PICHA Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. #CCMImara...
  13. B

    Ujumbe mahsusi wa Putin kwa Kenya

    Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa: Vipi uliwafikia au ndiyo mmefanya kama hamjauona? Poleni lakini, ila huo ndiyo ukweli wenyewe.
  14. Ujumbe kwa Rais Samia: Tembelea Nyanda za Juu Kusini, Utakuja Kunishukuru

    T
  15. B

    Wachawi wa Lissu na Mbowe ujumbe utakuwa Umewafikia

    Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa. Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu. Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki. Hii nchi ni yetu sote.
  16. S

    Ujumbe kwa Dkt. Slaa: Uungwana ni kitendo, jitokeze ukamtembelee Freeman Mbowe

    Ni hivi karibuni ulisikika kwenye vyombo vya habari ukikasirishwa na watu wanaosema "Mbowe siyo Gaidi" ukakasirishwa na wafuasi waliokuwa wanahudhuria Mahakamani wakati kesi ya Mbowe na wenzake ikiendelea, mwisho ukasema swala la Mbowe ni Gaidi au siyo Gaidi iachiwe Mahakama. Ni takribani siku...
  17. M

    Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

    Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao... "Am sorry Dear I know una nia...
  18. N

    Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  19. Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  20. Vijana msiooa kuna ujumbe wenu hapa.

    Ujumbe wenu huu hapa chini 👇👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…