ujumbe

  1. B

    Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

    Hali vipi wana JF! Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu : 👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida, 👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila...
  2. Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  3. Watumishi wa Umma someni hapa Kuna Ujumbe wenu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
  4. Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa

    Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo." =================================== Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
  5. M

    Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye X (Twitter) mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe huu hapa

    Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye Twitter. mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe. Huu hapa ni ujumbe wake: Kamati kuu yetu ina wajumbe 35. Kila anayehamahama au kufukuzwa anamshambulia Mbowe, maamuzi ya cc yanaitwa ya Mbowe. Ni mkakati piga mchungaji kondoo watawanyike. Akihama mtu hata kwenye...
  6. Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho

    🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho. 👉Malaika ni Gabriel 👉Chakra: root chakra 👉Nambari: 9 👉Kipengele: Maji 👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
  7. Mtu asiyepokea simu au kujibu ujumbe wa simu ana maana gani?

    Eti wakuu Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia? Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni...
  8. Maswala ya usaili walimu : angali sample ya mtihani kwenye ujumbe huhu kujipima uwezo binafsi kuelekea aptitude test

    MASWALI YA KISWAHILI Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha "possible." Maswali Haya ni ya Jumla Hata hivyo, ili kupata majibu na msaada mwingine wa mentorship...
  9. G

    Nini kinamsibu Yericko Nyerere hivi sasa? Soma ujumbe wake huu wa 2020 kuhusu Lisu

  10. Ujumbe wa Haraka kwa Serikali ya Tanzania:Ujenzi wa Barabara kuu ya YMCA kwenda Hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC ,yenye urefu wa kilometer 2.6 tu.

    Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC. Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
  11. L

    Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  12. J

    Ujumbe wa mwaka 2025 kutoka kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Vijana wa Kitanzania

    UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu vijana wenzangu! Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende kutumia fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya, afya njema, na mafanikio tele. Mwaka mpya ni fursa mpya...
  13. B

    Nimekutana na huu ujumbe, vijana kazi ipo

    Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
  14. S

    kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
  15. Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  16. S

    Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

    Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x: Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi...
  17. Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  18. L

    Ujumbe huu wa Dkt Tulia una maana gani na umemlenga nani?

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Mwafrika wa Kwanza mwanamke kushika nafasi hiyo tangia kuumbwa kwa ulimwengu na kuanzishwa kwa umoja...
  19. G

    Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  20. Waziri Kombo Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Mkutano Wa Dharura Wa Mawaziri Wa SADC Organ Zanzibar

    WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN ZANZIBAR Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Balozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…