Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana akiwa amefungwa mikono huku akipigwa kwa fimbo na watu kadhaa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 3 Julai 2025 na msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura amesema wanaume nchini wana haki ya kulindwa, kusikilizwa na kupewa heshima ambapo wametakiwa kutumia ofisi za Dawati la Jinsia kuripoti ukatili wanaofanyiwa majumbani.
IGP Wambura amesema hayo wakati akifungua Mradi wa jengo la ofisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.