Ni katika kuwakumbusha wale waliosahau na kuwatahadharisha wale tu wasiojua kuwa vijana muwapo vyuoni kuweni makini usiingie katika suala la kufanya mapenzi na kijana mwenzio huku ukijiaminisha huyu ni mdogo na akakwambia hajawahi kufanya mapenzi kabla ukaingia kwenye hatari.Nawakumbusha kuwa...
Wakuu,
Tusizoee kupimana ndani bila elimu ya counseling. Jana kidogo mtu anifie, mimi kuanzia leo tutaenda kupimana hospitali habari za ndani hapana aiseee.
Usiombe yakukute
Ripoti kuhusu watoto na UKIMWI iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, inaonyesha kuwa watoto na vijana karibu 320 wanakufa kila siku kutokana na sababu zinazohusiana na ugonjwa huo.
Chanzo kikubwa cha vifo hivyo ni upatikanaji mdogo wa matibabu ya ARV na ukosefu...
Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane.
Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa...
Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya udhibiti wa Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI, ambapo pamoja na mambo mengine imeipa mahakama kutoa amri ya fidia kwa mtu ambaye ameambukizwa VVU kwa makusudi
Pia, Bunge limepitisha umri wa mtoto kujipima VVU ni 15, huku wabunge wa upinzani wakitaka iwe...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amesema kuwa hadi kufikia Ijumaa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaipitisha Sheria inayotoa mamlaka kwa mtu kujipima UKIMWI.
Hayo ameyabainisha leo Novemba 11, 2019 wakati wa ufunguzi wa semina elekezi kwa...
KASI ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi katika Jiji la Tanga yameshuka kutoka asilimia tano mwaka juzi hadi asilimia 2.2 Julai mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Mratibu wa Ukimwi wa Jiji la Tanga, Mosses Kisibo wakati akiongea na gazeti hili kuhusu mikakati ya utekelezaji wa shughuli za...
Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
Ujumbe ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama...
Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
Katika maisha tunapitia visa vingi sana ambavyo vingine kama tukiwa makini vinatuachia funzo kubwa. Tuna mikasa mingi ambayo kama ukipata mtu wa kuisimulia kwa kuiweka kwenye kitabu au filamu basi vitu hivyo vitapata soko kubwa kutokana na mikasa iliyopo ndani yake.
Leo nataka niwasimulie kisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.