ukimwi

  1. R

    Natafuta mpenzi wa kike mwenye virusi vya Ukimwi

    Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine tutaelezana PM. Dini si muhimu sana kwangu. Mimi mwenyewe siishi na maambukizi ieleweke. Dira...
  2. S

    CCM jaribuni kutumia akili na busara kuelewa maoni ya upinzani. Kuhoji sio kupinga

    Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa SGR, flyover nk Utakuta mtu anasema kwa nini unapanda ndege za ATC alizonunua Magufuli wakati...
  3. Kinoamiguu

    Mgonjwa wa Ukimwi yupo katika stage ya mwisho naombeni ushauri

    Wadau nianze kwa kuwapa pole za mihangaiko ya kutwa mzima ya leo. Nina ndugu yangu anaumwa ngoma yupo stage ya mwisho. Amepelkwa hospital nyingi kila hospital unapiga rufaa kwenda hospital nyingine kama vile hataki field pale. Hali imekuwa mbaya zaidi maana hali, hatembei na ametokwa na...
  4. shalet

    Siku nilipohisi kupata VVU

    Miezi sita hivi nilikutana na mrembo wa telegram huyu mrembo nilimpata baada ya connection kuona kwenye uzi fulani wa machimbo na bei zake, ile pisi ilikuwa ya ukweli na nikajisemea nanunua hii kwa mara ya miwhso sinunui tena, Basi nikaenda tabata mawenzi kuonana nayo nilikuwa na vipimo vya...
  5. Von Bismarck

    Ushauri kuhusu kinga ya UKIMWI

    Thread is deleted
  6. Analogia Malenga

    TACAIDS: Unyanyapaa unasababisha vijana waogope kupima UKIMWI

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi umezidi kuwa kikwazo katika kukabiliana na maambukizi mapya ya ugonjwa huo. Pamoja na changamoto hiyo unyanyapaa umechangia kwa kiwango kikubwa wenye maambukizi kutokuwa...
  7. Faith Luvanga

    Mwanajeshi mstaafu wa Marekani aliyeishi na VVU kwa miaka 20 bila kufahamu

    Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu baada ya kumfanyia vipimo mnamo katikati ya mwaka 1995 ambapo wanajeshi wote wa jeshi la majini...
  8. Capitano

    Je, kuna watu ambao hawaambukizwi UKIMWI?

    Kama mada inavyojipambanua kuwa ni swali. Nimekutana na wadau wa masuala ya afya wakijadili kuwa ati kuna binadamu wana ukosefu wa kitu gani sijui kwenye damu yao na hivyo kuwafanya hata wakikumbana na virus wale HIV bado hawataweza kuugua UKIMWI. Wataalamu hapa JF naomba mtufafanulie kama ni...
  9. makilo

    Niliishi kwa kuamini nina UKIMWI kwa zaidi ya miaka 9, asante MUNGU

    2000 mwaka niliomaliza shule ya msingi na kama ilivyo kwa sisi wahenga wa miaka hiyo ilikuwa kuna kitu kinaitwa pikiniki.(Kwa wanafunzi mliomaliza shule mnaenda sehemu kusheherekea kumalizia elimu ya msingi (haijalishi utakuwa mkulima au utaendelea na elimu ya seco lazima ukasheherekee muhimu...
  10. Niache Nteseke

    Hivi Virusi vya UKIMWI vinaonesha Idadi ya wadudu waliopo mwilini?

    Habari zenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema kabisa. Well, swali langu ni kutaka kufahamu mtu anapoenda kupima Virusi vya UKIMWI, huwa vinaonesha Idadi ya wadudu waliopo ndani ya mwili wakuu? Na je, Idadi hiyo ikiwa kiasi gani ndio huwa na madhara zaidi kwa mwili na katika kupungua Idadi ya...
  11. mgt software

    Uwezo wa NIMR unafikirisha kutoa Tiba Lishe ya kufubaza Virus vya UKIMWI, tunaweza kuacha na ARV zenye masharti

    Wana JF. Tangu uwepo ugonjwa wa Corona, mapambano ambayo NIMR imeyafanya , imejiongezea umaarufu na kujikutabinajulikana sana baada ya kutengeneza Tiba lishe mbali mbali kupambana na COVID19. Kabla ya hapo watanzania wengi walikuwa hawajui kama kuna kitu kama NIMR kinafanya utafiti wa Tiba...
  12. mgt software

    Dkt. Sebi kielelezo cha Waafrika kukataliwa Tiba zao. Alikufa kifo chenye utata baada ya ugunduzi wa Dawa ya UKIMWI

    WanaJF, Mfahamu Dr. Sebi: Mwafrika Aliyetibu Ukimwi Wazungu Wakamla Kichwa! Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari biashara za watu, wakamfugulia jumla ya kesi 2,781 akashinda zote, akaja kubambikiziwa zengwe la utakatishaji fedha, akatupwa...
  13. Requal

    Siku yako ya kwanza kupima UKIMWI, ulikuwa katika hali gani?

    Nimeikumbuka leo nimebaki nacheka tu. Ni siku ambayo haikuwa rahisi kabisa kwangu ilikuwa ngumu mno, ILINICHUKUA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NIKIWA NA WAZO TU LA KWENDA KUPIMA NA SIKUWAHI KWENDA, lakini mambo yakawa mabaya zaidi nilipopata GF mpya aliyetaka tupime kwanza kabla ya kula tunda...
  14. Course Coordinator

    Kuweni makini na wanaojipima HIV kabla ya tendo

    Wasalam Rafiki yangu mmoja alikuwa mzee wa totozi mawazo mgando akiamini kuwa nurse au daktari yoyote huwa hawapati HIV kwa vile ndio wataalam. Akawa amempenda Nurse anayemzidi umri kidogo ,wakaanzisha mahusiano kama miezi kadhaa kwa vile nurse alikuwa mbali na yeye alikuwa anamueleza kuwa...
  15. Mkogoti

    Umewahi kupima "UKIMWI". Nani alikushawishi?

    Mimi mara ya kwanza aseee nilikatiza jirani na Marie Stopes nikiwa na mishe Zangu tu Huku na kule ghafla mhudumu wa hapo kaniita ilikuwa nafikiri kipindi chao maana nilikuta maturubai nje? Na viti vingi vingi hivi Kaanza kunishawishi hapo weee na story nyingi! Dah! Nikaona isiwe ishu nikapewa...
  16. Analogia Malenga

    WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  17. kaligopelelo

    Tukifanikiwa kuisambaratisha corona kwa mitishamba, tuhamie kwa virusi vya UKIMWI

    Habarini za asubuhi. Wakuu kwa juhudi tunazofanya kupigania uhai wetu,ni dhahiri shida huongeza maarifa. Ukija kuangalia ugonjwa wa covid-19 kwa sura yake na namna ulivyoondoka na uhai wa watu wengi kwa muda mfupi. Na pia kwa namna ambayo tulikuwa tunatabiliwa mazito hasa waafrika na wale...
  18. Syolosu

    Je, Wazungu wana athirika na UKIMWI?

    Naomba kuuliza hivi Wazungu nao wanaathirika kwa UKIMWI? Maana huwasisikii habari zao kuwa wanaugua, na kama wanaugua mbona habari zao hazisikiki kama huku kwetu AFRICA. Au wao wanapewa CHANJO wanapozaliwa?
  19. Victor Mlaki

    Uhusiano kati ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 na vile vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi

    Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 (SARS Cov 2) na vile vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi (HIV) vinafanana katika mifumo vinayoiathiri na pia tabia zake. 1. Virusi vya HIV vina Ribonucleic acid(RNA) halikadhalika virusi vya Corona vina RNA. 2...
  20. Corticopontine

    CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

    Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani? Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi...
Back
Top Bottom