ukimwi

  1. beth

    Shinyanga: Mume amuua Mkewe akimtuhumu kutumia ARV kwa siri

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri. Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba...
  2. Apollo one spaceship

    Hivi UKIMWI bado upo kweli?

    Wadau nauliza kama UKIMWI upo maana uzinzi na uasherati baina ya wahusika umekuwa kama mnyororo fulani na hakuna anayejali. Basi ukigusa huo mnyororo, imeisha hiyo. Ni dhahiri kwamba mlolongo wa ngono zembe ktk jamii upo baina ya makampuni, vyuo, shule, vijiji, bar, maofisi, mahoteli, mageto...
  3. Miss Zomboko

    Geita: Amchoma Mtoto kisu tumboni na kisha kujiua baada ya kugundua ana UKIMWI ila Mkewe hana

    Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki...
  4. Miss Zomboko

    Uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Kenya wahatarisha maisha

    Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID. Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
  5. M

    Waziri Mkuu Majaliwa nahisi kwa hili la Kiwango cha 'UKIMWI' Tanzania ' Umedanganywa' na uliowaamini kiutendaji huko Serikalini

    Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu. Mheshimiwa Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa kuna mahala nimekusikia na kukuona ukitoa Taarifa juu ya Maambukizi...
  6. Fatma-Zehra

    UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

    Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them. Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri nyingi ni wezi but hali ni worse kwenye public institutions. Unfortunately your CAG doesnt audit all...
  7. Mkushi Mbishi

    Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

    Habar zenu madoktor humu ndani. Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote. Nilioa miaka 5 iliyopita, baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa HIVna aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji. Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima...
  8. Sam Gidori

    Tumaini la kupata dawa ya UKIMWI laongezeka baada ya 4% ya watu kugundulika kuwa na kinga ya asili nchini DRC

    Ugunduzi wa kundi kubwa la watu ambao miili yao inaweza kupambana na kudhibiti Virusi vya UKIMWI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaleta matumaini ya kupata tiba ya virusi hivyo. Utafiti umebaini kuwa asilimia 4 ya watu waliokuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini humo wameweza...
  9. J

    Namna ya kumueleza Mtoto kuwa ni Muathitika wa Virusi vya UKIMWI

    Namna ya Kumueleza mtoto: Ni muhimu mzazi au mlezi kwa kushirikiana na mtoa huduma kuandaa mpango wa namna ya kumueleza mtoto hali yake ya maambukizi ya VVU, kabla ya mtoto huyo kupata habari hiyo kutoka vyanzo vingine. Kusikia habari kuhusu hali yake ya maambukizi toka kwa mtu mwingine...
  10. Analogia Malenga

    Wanaofanya ngono kinyume na maumbile hatarini kupata UKIMWI

    Makundi hatarishi yakiwemo wanaofanya ngono kinyume na maumbile, wanaotumia madawa ya kulevya na wale wanaofanya biashara ya ngono yametajwa kuwa kwenye hatari kubwa ya maambukizi UKIMWI. Hayo yamebainishwa leo Januari 26, mkoani Morogoro na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti...
  11. Elius W Ndabila

    #COVID19 Corona ni sawa na UKIMWI kwa wazungu, msitutishe!

    Kumezuka katabia ka watu kutishia wananchi Kuwa Corona ipo Tanzania utadhani wao wanaumwa Corona au ndugu zao wamekufa kwa CORONA. Watu wamebeba mabango Kuwa serikali inawaficha wagonjwa wa corona. Ukiwauliza wewe unaumwa? Ndugu yako anaumwa hiyo corona? Rafiki yako amekufa kwa corona? Wanabaki...
  12. Elisha Sarikiel

    Tanzania na Uganda zatajwa kushiriki majaribio ya chanjo ya HIV

    Tanzania na Uganda zimetajwa kuwa kati ya nchi nne za Afrika kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya virusi ya UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya jaribio la kwanza barani Afrika kujaribu chanjo mbili mpya dhidi ya VVU. Imearifiwa kuwa tayari majaribio yameanza wiki hii nchini Uganda na Afrika Kusini...
  13. T

    Kupima UKIMWI kusikie tu

    Mwaka jana December 29, 2019 niliuza mechi ama nilitembelea rim mahala pabovu balaa halafu mkoa ambao kiwango cha maambukizi kiko juu sana. Baada ya kuuza mechi kesho yake yaani tarehe 30 nikataka marudio ya mechi kwa sababu mtoto alikua na vile vitu vinanimaliza, ila kabla ya game nikamuomba...
  14. BAK

    Askofu Mwamakula: Kampeni dhidi ya UKIMWI Mbeya ziepuke udhalilishaji

    KAMPENI DHIDI YA UKIMWI MBEYA IEPUKE KUDHALILISHA UTU NA ISIKIUKE HAKI ZA BINADAMU! Siku chache zilizopita tuliwasikia viongozi katika Mkoa wa Mbeya akiwemo Mkuu wa Mkoa huo wakiongea mbele ya kamera kuhusu Kampeni dhidi ya UKIMWI. Viongozi hao walisisitiza kuhusu adhma yao ya kuanzisha...
  15. Jidu La Mabambasi

    Siku ya UKIMWI Duniani: Ushuhuda - Asante Hospitali ya Jeshi Lugalo

    Wakati mwingine ukitazama nyuma ni lazima utashukuru Mungu kwa kupita kwenye tanuru la giza nene! Huu mkasa ni wa kweli kabisa na naishukuru sana Hospitali ya Jeshi Lugalo kwa kuokoa maisha ya ndugu yangu ambaye aliponea chupuchupu kupoteza maisha. Mkasa umetokea muda kidogo. Ndugu yangu...
  16. Dr am 4 real PhD

    Siku ya UKIMWI Duniani: Ushuhuda wangu

    Tunaitazama dunia katika Angle tofauti tofauti. Bado ni tishio kuu mpaka sasa ulimwenguni. Siku hizi matangazo na campaigns zimepunguzwa sanaa. Wapo walio survive long more than 20 years na ukionyeshwa huwezi watambua kwa macho. Wapo watoto wabichi. Vijana wa mjini wana waita "PISI" kali. Kwa...
  17. Analogia Malenga

    Siku ya UKIMWI Duniani: Watu 10,000 hufa kila siku kwa kukosa access ya Huduma za Afya

    Umoja wa Mataifa (UN) umesema Afya ni Haki ya Binadamu lakini watu 10,000 hufa kila siku duniani kwa kukosa Huduma za Afya. Akizungumza kuhusu Siku ya UKIMWI Duniani Mkurugenzi Mkuu wa UN, Antonio Guterres amesema uwekezaji mkubwa unatakiwa ufanywe katika Sekta ya Afya. Mbali na uwepo wa...
  18. Miss Zomboko

    UNICEF: Kila dakika '1:40' mtoto au kijana chini ya miaka 20 anaambukizwa UKIMWI

    Takribani kila dakika moja na sekunde 40, mtoto au kijana chini ya umri wa miaka 20 alikuwa anaambukizwa Virusi Vya UKIMWI, VVU mwaka jana 2019, na kufanya idadi ya watoto wanaoishi na VVU kufikia milioni 2.8, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limesema katika ripoti yake...
  19. Return Of Undertaker

    TACAIDS: Wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya UKIMWI wamejitoa

    Moshi. Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa. Taarifa hiyo imetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa Tacaids, Leonard Maboko kwenye ufunguzi wa wiki ya Ukimwi duniani uliofanyika viwanja vya Shule ya...
  20. Miss Zomboko

    Maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI yamepungua kutoka 130,000 mpaka 68,400 kwa mwaka

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi yamepungua kutoka 130,000 mpaka 68,400 kwa mwaka kutokana na elimu inayoendelea kutolewa kwa wananchi ya kujikinga na maambukizi hayo. Mkurugenzi wa tume hiyo, Dk Leonard Maboko, amesema hayo leo Noemba...
Back
Top Bottom