ukimwi

  1. Analogia Malenga

    Kenya: Vijana wabaka wazee wakiamini ni tiba ya UKIMWI

    Imeripotiwa katika makala za Russia Today(RT) kuwa vijana wa #Kenya wanaamini kutembea na aliyewazidi umri kunatibu UKIMWI Kwa kuwa sio wote wanaokubali kutembea nao, vijana huwabaka waliowazidi umri hasa wazee ambao wanakulikana kama 'Shushu' Wazee hao wameanza kujifunza kupigana ili...
  2. T

    #COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

    Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo. Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo...
  3. The Sheriff

    Jenista Mhagama: Vifo vinavyotokana na UKIMWI vyapungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020

    IDADI ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa ukimwi nchini vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka jana. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama wakati akizindua Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti...
  4. M

    Waziri Jenister Mhagama acha kutudanganya Watanzania, Vifo vya UKIMWI havijawahi kupungua Tanzania

    Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania. Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 -...
  5. Analogia Malenga

    UN: Watoto 620,000 wanaougua UKIMWI Afrika hawapokei dawa

    Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya...
  6. Red Giant

    Kumbe hata UKIMWI tunaweza kupambana nao kwa chanjo

    Tumemezeshwa kuwa sababu ya kuwa hakuna chanjo ya kirusi cha UKIMWI ni kwa sababu kinabadilikabadilika sana. Lakini tumeona jinsi kirusi cha Korona kinavyobadilika badilika lakini bado wanasayansi wanakaza kuendana nacho, kwa kutengeneza chanjo mpya kila siku. natumaini tutakishinda hiki kirusi...
  7. M

    Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    Mwanachama #001 Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa. Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui. mwanzoni mimi nilidhania alijua.maana nilihisi nilipata kwake...
  8. S

    Utambue 95-95-95: mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  9. S

    SoC01 Utambue 95-95-95: Mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  10. Nisamehe tu

    Jinsi nilivyonusurika kupata virusi vya UKIMWI

    Habari za wakati huu Ndugu, Natumai mu wazima wa afya ,Nawasalimu katika jina la ( JAMHURI YA MUUNGANO )Wakubwa shikamooni wadogo habari za mida,,pasipo kupoteza muda hii ni historia halisi ya maisha yangu ,lengo ni kumtaka aliye tayari awe Ndugu yangu ila nina uhitaji wa mtu kama baba au...
  11. Red Giant

    Je, tungefanya quarantine kwenye UKIMWI ungetoweka?

    Nimewaza hapa na hizi quarantine. Corona inaweza kuwa imekuja kutufungua macho. Nchi kama Tanzania asilikia kama 5 ya watu wote wan UKIMWI. Mkoa kama Njombe 14% ya watu wan UKIMWI. Ukiona watu mia moja Njombe jua kuwa 14 wana upungufu wa Kinga Mwilini. Hii ni ishu kubwa sana ukizingatia kuwa...
  12. D

    Je, Mbu anaweza kuambukiza UKIMWI endapo mtu akimla/meza kwa bahati mbaya?

    Napenda tuangazie kwa undani juu ya mbu! Mbu ni mdudu mdogo sana anaesumbua miji mingi Africa na sehem ya Ulaya! Pamoja na kwamba mbu anatajwa na watalam wetu kuwa hawezi kuambukiza ukimwi kutokana na vile anavyonyonya damu! Inatajwa kwamba Mbu hususani aina ya Anofeles mwenye mdomo wenye...
  13. Mpinzire

    Ni nani aliruhusu watu wachomwe chanjo ya Ukimwi mwaka 2000?

    Ni nani aliruhusu Watanzania 64 wafanyiwe majaribio ya dawa ya Ukimwi ya Virodene kati ya mwaka 2000 na 2001 licha ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kutotoa kibali? Je, Watanzania hawa walipewa taarifa sahihi na za kutosha kabla ya kuruhusu miili yao itumike katika...
  14. Analogia Malenga

    Umoja wa Mataifa wakubaliana kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kisiasa, la kuyamaliza maradhi ya UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kulingana na azimio hilo wanachama wa baraza hilo kuu wameahidi kupunguza kiwango cha maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hadi 370,000 na vifo vitokanavyo na UKIMWI hadi chini ya...
  15. P

    Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Habari za Muda Huu Waungwana, Samahani kama nItakuwa nakosea kuwasilisha hii Mada lakini naombenii ushauri kwenye hili, Juzi Kati nilikamata mdada mmoja kutoka Bar fulani Maeneo ya Ubungo, Sasa nikampeleka kwangu usiku huku tukiwa tumelewa, Ilipofika muda wa kunjunjana nikataka kuvaa kondomu...
  16. Affet

    Ujasiri wa wanawake kupima UKIMWI huwa unatokea wapi?

    Habari zenu, mimi ni kijana mwenzenu msomaji mzuri sana humu ila si muanzishaji sana wa nyuzi kuna jambo kidogo huwa linanitatiza wanawake niliowahi kuwa nao wengi huwa na mambo mengi yaani hawajatulia ila sasa kinachonishangaza linapofika suala la kupima. Mimi ninayejifanya mtulivu ndie muoga...
  17. Fohadi

    Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

    Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
  18. Chris wood

    Hakuna kitu kibaya kama kujihisi umeathirika HIV

    Najua sii mimi pekee ambaye nimeshakutana na hii hali ni wengi imewakuta sema tu unakuta tunaugulia kimya kimya. Mwaka wa tatu huu nimekuwa nikiishi kama digidigi yaani hata nikipata malaria kidogo naanza kufikiria michezo michafu niliokuwa naicheza huko nyuma, nasema au ndio dalili za HIV...
  19. Emmanuel180

    Niliponusurika kupata UKIMWI mara tatu

    Stori yangu inaanzia mbali sana kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho yanawaka mithiri ya theluji ya mlima Kilimanjaro miaka hio, 60 nyuma kabla ya mabadiliko ya hali ya...
  20. ndege JOHN

    Baada ya ‘unsafe sex’ wanawake wengi hawajutii

    Inaonekana wanawake hata ukienda nap kavukavu wenyewe wanakuwa na uhakika hawajali cha mimba Wala UKIMWI. Ukimuhitaji kavu unamnasa na ukitaka condom hawapendelei ni kama vile watatuua. Tunaendelea kuona wanaume wakishafanya mapenzi kavu tu maswali yafuatayo ni je nimeambukizwa ngoma moja kwa...
Back
Top Bottom