ukimwi

  1. JanguKamaJangu

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji - TACAIDS asema “Tumebakiza miaka 7 kutokomeza UKIMWI”

    Kutoka Morogoro, Viwanja vya Shule ya Moro Sec katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, ITV imezungumza na Dk. Jerome Kamwela ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS anasema: "Kama tumebakiza miaka 7 kutokomeza UKIMWI, maana yake kati ya leo mpaka 2030 miaka 7 tu imebaki, maana yake...
  2. GENTAMYCINE

    Wizara ya Afya, TACAIDS na NACP wakija kupima Watu UKIMWI Kawe wakitukuta 90% hatujaathirika nao nakata Rufaa upesi sana

    GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi...
  3. Mr George Francis

    Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    SIKU 470 NIKIWA NA HOFU YA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI. [Sehemu Ya 1 ] Tarehe 1 mwezi wa 12 ya kila huwa tunaadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Katika kutambua umuhimu wa siku hii kwa jamii na taifa letu kwa ujumla, naomba tupate funzo kupitia historia yangu na jinsi nilivyoishi siku 470...
  4. BARD AI

    Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
  5. L

    China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  6. GENTAMYCINE

    Kwanini Matangazo ya Kuhimiza Watu kupima UKIMWI / DALLY KIMOKO yamepamba moto sana katika Media za Tanzania?

    GENTAMYCINE nilipoikataa ile Ripoti ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka Jana kuwa UKIMWI umepungua sana nchini Tanzania si mlijifanya Kutonielewa na mkamuunga mkono? Kwa hali ya Maambukizi ilivyo mbaya sasa na Watu wanavyopukutika kila Uchao nadhani taratibu mtaanza kunielewa GENTAMYCINE na...
  7. DodomaTZ

    ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama: Vijana Kati ya Miaka 15-24 Waongoza Maambukizi ya VVU - UKIMWI

    Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameyasema hayo mapema...
  9. BARD AI

    Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  10. Super Charged

    Napataje PEP nijinusuru

    Habari Wana Jamii Health. Siku Ya Jana Nimejikata Na Wembe Wakati Nikijaribu Kuutupa Ili Usije Dhuru Mtu. Hapa Karibu Kuna Watu Wameathirika, nimejawa na Uwoga Napataje PEP? Masaa Yanayoyoma Kuelekea 72 Hii Ni Saa Ya 36. Nipo Dar Es Salaam. Upatikanaji Wake Ukoje
  11. Lycaon pictus

    Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

    Huyu mcheza kikapu maarufu ambaye hivi juzi ametangazwa kuwa bilionea ameishi na ngoma kw miaka 32. Aligundulika na UKIMWI mwaka 1991. Akatangaza hadharani kuwa kaukwaa. Hadi leo mwaka wa 32, akiwa na miaka 64 bado anadunda nao. Tajiri hafi kwa ngoma.
  12. Tlaatlaah

    Ndugu zangu UKIMWI is real

    Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana". Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma...
  13. Replica

    Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya...
  14. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  15. Tlaatlaah

    Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    Hali ya maambukizi ya ukimwi inatisha, ni ya kasi ya 4G. Wathirika wakuu ni vijana kwa wazee, wanaoedekeza starehe, pombe na ngono zembe. Wazee wanapenda dogodogo na pisi kali, huku vijana wakipendelea zaidi sponsorz , sugar Mamie's, daddies and single mothers. Tamaa ya utelezi na msererereko...
  16. Atalanta

    Usije uka google dalili za Ukimwi kama unajihisi unao "Utakufa kwa presha"

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi vizuri kwa kufuata ushauri wa madaktari. Pia uzi huu haupo kwaajiri ya kuwanyanyapaa watu waishio na...
  17. Heparin

    NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Maambukizi na Matibabu ya VVU na UKIMWI

    VVU/UKIMWI vinasalia kuwa janga kuu la afya ya Umma duniani, janga lililogunduliwa zaidi ya miaka 40 iliyopita likiwa limechukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40.4 huku maambukizi yakiendelea katika nchi zote duniani. Hadi kufukia mwishoni mwa mwaka 2022, kulikuwa na wastani wa watu milioni...
  18. H

    SoC03 Kwa mazoea haya tutatokomeza UKIMWI?

    Tangu kuingia kwa ugonjwa wa ukimwi mwanzoni mwa miaka ya 80 harakati za kupambana na ugonjwa huu ni kubwa na mapambano yanaongezeka kasi kadri miaka inavyoenda. Ukweli ulio mchungu mpaka hii leo ugonjwa huu hauna dawa, na ulivyoingia ulipukutisha watu maana hakukuwa na kizuizi chochote wengi...
  19. W

    Jinsi mchepuko wangu alivyotaka kuniambukiza gonjwa la UKIMWI

    Sehemu ya 1 Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa kwenye mgogoro mkubwa wa ndoa na mke wangu jambo lililonipelekea kutafuta mchepuko wa kuupooza moyo...
  20. Chachu Ombara

    KWELI UKIMWI uliingia Tanzania kupitia mkoa wa Kagera

    Nianze kwa ku-declare interest kuwa mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera Wilaya ya Missenyi. Katika makuzi yangu hasa baada ya kutoka nje ya mipaka ya mkoa wa Kagera, nimekuwa nikishambuliwa na kutaniwa sana kuhusu UKIMWI kuanzia mkoa wa Kagera. Hayati Rais Magufuli kwa nyakati tofauti amewahi...
Back
Top Bottom