ukimwi

  1. fundi radio

    SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  2. MzeeKipusa

    Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Dah , sio poa! Nipo hapa nafuatilia BBC London habari... Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa. Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo? --- Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya...
  3. Tukuza hospitality

    SoC03 UKIMWI Bado ni Tishio, Tukuchukue Tahadhari

    VVU ni nini? Hiki ni kifupisho cha neno Virusi vya Ukimwi, na Ukimwi ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (Virusi vya Ukimwi/ Upungufu wa Kinga Mwilini) umeingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1980, ambapo watu waliupa majina mbalimbali, yakiwemo “Juliana”, “Slim”...
  4. sanalii

    Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

    Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom. Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma, 1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu. 2. Mabega yanapanda juu na...
  5. Replica

    Kuambukiza HIV/Ukimwi kwa makusudi jela kuanzia miaka 5-10, kumtaja mwenye HIV jela hadi mwaka mmoja

    Leo nimepitia sheria ya Ukimwi/HIV iliyopitishwa mwaka 2008 baada ya kusikia mwamba wa Mara huko kafungwa miaka 7 kwa kusambaza Ukimwi makusudi. Kifungu cha 47 cha sheria hiyo kinasema mtu yeyote kwa makusudi akasambaza virusi vya ukimwi kwa mtu mwingine atakuwa ametenda kosa na akithibitika...
  6. BARD AI

    Baba wa kambo jela kwa kumuambukiza mtoto UKIMWI kwa makusudi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi. Hukumu hiyo imetolewa mjini hapa leo Mei 31, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu mwenye...
  7. B

    Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

    Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
  8. Mohammed wa 5

    Ni sawa kwa baba au mama kuwaficha watoto kuwa ana ugonjwa wa (UKIMWI)

    Habari zenu Wana Jamii forums Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
  9. Roving Journalist

    Dkt. Kikwete aipongeza GGML kuendeleza kampeni ya kudhibiti UKIMWI, akusanya Tsh. Bilioni 1.6

    Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh Bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa Harambee ya Kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa lengo la kukusanya Sh Bilioni 2.3 fedha zitakazotumika kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya...
  10. Ashampoo burning

    Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Naandika uzi huu huku nikiwakumbuka wengi waliokufa na gonjwa la hatari la UKIMWI kule kwetu Iringa Mafinga kwenye misitu mbao mji wa biashara mji wenye viwanda vidogo vidogo vingi vya mbao mji wa majani ya Chaibora. Mimi nilizaliwa mwaka 1990 DSM, baadae mwaka 1995 tukahamia mafinga mjini...
  11. ChoiceVariable

    WHO: Homa ya ini ni hatari kuliko UKIMWI na Kifua Kikuu

    Shirika la Afya Duniani WHO Wametoa taarifa walisema ugonjwa wa homa ya Ini ni Hatari sana Kwa Mwandadamu kuliko Virusi vya Ukimwi HIV na Ugonjwa wa Kifua Kikuu.. Tuchukue tahadhari ikiwemo chanjo ya homa ya Ini === Mashirika ya afya likiwemo la Afya Duniani (WHO), yanaonya kuwa homa ya ini...
  12. TheForgotten Genious

    Kuna haja ya kupiga vita umasikini wa nguvu kuliko kupiga vita UKIMWI

    Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
  13. Hemedy Jr Junior

    Janga la UKIMWI haliwezi kuisha kama watu wasipokuwa makini na Saloon/hotel nk

    Huduma ya saloon/massage... daah huku ni balaa aisee janga la UKIMWI haliwezi kupotea kama hali itazidi kuwa hivi. Huduma zinazotelewa uko SALOON yenye huduma ya massage ni huduma ambazo zinatakiwa zipatikane nyumbani kwa mke wako. Sasa wewe hushapata hiyo huduma saloon nyumban unaenda kupata...
  14. ndege JOHN

    Niko na wadau wa THIS wananipa stori, hali ya UKIMWI inatisha

    Aisee hali inatisha wakuu vijijini kiasi cha maambukizi kinatisha kinazidi kuongezeka takwimu zitatoka mtaona. Shida ni hawa machangudoa wa kutoka Dar wanaleta vimelea mikoani, mfano msimu wa mavuno siku hizi mikoa ya Lindi Na Mtwara na wilaya ya Tunduru kwa sasa hali sio nzuri uchafu wa kila...
  15. BARD AI

    Mshtakiwa adai anatibu UKIMWI kwa kutumia Kobe, Ngozi ya Nyati

    Mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), ameshitakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu likiwamo la kukutwa na kobe 998, magamba 10 ya kobe, ngozi ya Nyati na mkia wa Nyumbu, vyote vikiwa na thaman ya Sh168 milioni. Mshtakiwa huyo akidai ameoteshwa na...
  16. BARD AI

    Mahakama Kuu yapinga Wafungwa kupimwa UKIMWI bila ridhaa yao

    Mahakama Kuu imesema kitendo cha maofisa wa magereza kuwalazimisha wafungwa kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) bila ridhaa yao na kutangaza majibu ya vipimo vyao hadharani ni kinyume cha sheria. Majaji, Elinaza Luvanda, Edwin Kakolaki na Sedekia Kisanya wamekubaliana na ombi la kikatiba...
  17. Mwachiluwi

    Kukataliwa kumenifanya kuepuka UKIMWI

    Habarini Nilitokea kumpenda mdada mmoja mzuri wa sura ana shep mzuri kilima kipo vizuri nilivutiwa nae kwa kweli na vile ana jua kudeka na mimi napenda mwanamke anaejua kudeka basi akawa ananidekea kwenye maongezi ya kawaida na mimi nikatokea kumpenda. Basi katika mzoea hayo tulipeana namba...
  18. BARD AI

    Kipimo cha UKIMWI kinavyotumika kama mbadala wa Kondomu

    Hofu ya uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa miaka ijayo inazidi kutanda mitaani kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya vipimo vya haraka (HIV Rapid test) vya kubaini maambukizi hayo kwa kupima damu. Uchunguzi uliofanywa kwa zaidi ya wiki mbili katika maeneo...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia Suluhu Tunapozungumza magonjwa ya UKIMWI na VVU tunazungumza muda wa miaka 30 tangu yalipoonekana...
  20. Z

    Shime! Watanzania wenzangu, kesho 1/12/22 twendeni tukapime VVU

    Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi. Shime wafanyakazi wa sekta zote, majumbani, wafanyakazi wa majumbani, n.k twendeni kesho tukapime VVU. Nashauri wahudumu wa afya...
Back
Top Bottom