AISHA
Aisha anajitizama kwa chati kwenye kioo kidogo kilichoko chumbani kwake, anashusha pumzi hafifu kwa anachokiona mbele yake.
"Kweli nimechunda Aisha mimi," Anakiri kimyakimya.
Tayari uso ulikuwa umekomaa mithili yaajuza aliyemaliza miongo kadhaa ilhali umri wake ni miaka 24 tu. Binti...