ukuta wa nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dawa ya fungus kwenye msingi na ukuta wa nyumba ni ipi?

    HELLO WAJENZI, WAJENGAJI NA WADAU Nimekuja hapa kupata uelewa wa nini mtu huyu afanye yupo Iringa manispaa. 1. Ukuta kwa ndani unamung'unyuka na unatoa mchanga nini nifanye? 2. Kati ya msingi na ukuta na hadi ukuta kama sm 30 plasta na rangi ina vimba na kuweka rangi nyeupe Msaada wa kiufundi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ukuta wa nyumba unapandisha unyevu kwenye nyumba nzima

    Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta. Mafundi pia hawakunishauri lolote juu ya hilo ila kwasasa vipindi vya mvua naona athari yake kwani...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri rangi ya kupaka ukuta wa nje nyumba yenye bati la kijani

    Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji. Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba ambayo imeezekwa kwa bati la kijani. Napokea pia mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka ndani yq nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…