ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hungary yailaumu Marekani kwa 'kuididimiza' Ulaya

    Hivi sasa nchi za Ulaya zinaendelea kukabiliwa na mgogoro mkubwa wa nishati baada ya nchi za bara hilo kuiwekea vikwazo Russia kwa kisingizio cha vita vya Ukraine. Mwaka jana, Orbรกn mara kadhaa amemlaumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kukubali kuchochewa na nchi za Magharibi na...
  2. Serikali ya Rais Samia ilivyoirejesha Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) nchini

    Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya (EIB) imeeleza sababu za kurejea Tanzania na kufanya uwekezaji mkubwa wenye thamani ya Euro milioni 540 baada ya kutokuwapo kwa miaka saba nchini. Moja ya sababu hizo ni maboresho makubwa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali anayoiongoza...
  3. Wafanyakazi wa European Commission watakiwa kuondoa TikTok kwenye simu zao

    Watendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) wametakiwa kuondoa TikTok katika Vifaa vyao kufikia Machi 15, 2023 Mtandao huo Maarufu umehojiwa mara kadhaa kuhusu Usalama wake kutokana na madai unavuna Taarifa Binafsi za Wateja na kuzitoa kwa Serikali ya China Nini maoni yako kuhusu hatua hii...
  4. Biden akutana na viongozi wa NATO wa Mashariki mwa Ulaya

    Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na viongozi wa nchi za upande wa mashariki mwa Ulaya, ambao ni wanachama wa jumuiya ya Kujihami ya NATO. Kwenye mkutano huo wa Jumatano huko Warsaw Poland, Biden alikariri kujitolea kwa nchi yake kuhakikisha usalama wa washirika wake wa mashariki mwa Ulaya...
  5. Hivi Ulaya pia kuna wanga? Mlioishi ughaibuni mpite hapa

    Habari zenu wananzengo, natumai mnaendelea kupambana na mfumko wa bei?! Nisiwachoshe sana, nataka kujua hivi Ulaya pia kuna wanga kama huku kwetu? Hawa wanaorukia mabati na kukaba watu usiku, kifupi wanga nawachukia sana. Mlioishi ughaibuni naomba mpite hapa kutupa experience yenu juu ya...
  6. Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

    Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya Mwaka 2025. Lakini wakati akisema hayo. Lissu ametelemka uwanja wa Ndege wa "JNIA" Dar es Salaam...
  7. Tusipangiane, hata wewe unaweza kwenda Ulaya kupitia shughuli unazofanya

    โ€œHata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia wakauze mkaa ulaya. Usimpangie mtu kwenye shughuli yake,โ€ Ibrahim Ajib Yuko sahihi au maneno ya mtu...
  8. M

    Ukraine sasa inasema kuwa: "Hakuna nchi iliyotusaidia kiasi cha kutosha".

    Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya...
  9. M

    Watanzania na waafrika kwa ujumla tuna wajibu wa kimaadili kupeleka ustaarabu ulaya na Marekani!

    Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
  10. Vipi ulaya imeshaganda kwa baridi baada ya urusi kufunga koki za gesi?

    Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda. Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
  11. Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

    Nawashauri Wazee wa Yanga waandamane kumuona Rais Samia,hii sio sawa
  12. EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (๐—ฅ๐—ฒ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐˜€)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐˜€ ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  13. U

    Morocco ilijitoa Afrika ikajiomba kujiunga Ulaya ila wazungu wakaikataa. Hii inatufundisha nini?

    Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu. Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu. Wakaanza mchakato wa kusubmit...
  14. UPDATE: Leah Ulaya arejeshewa Urais wa CWT

    Rais wa CWT aliyesimamishwa, Leah Ulaya amefika mbele ya wajumbe wa mkutano Mkuu kwa ajili ya kutoa utetezi wake wa kwa nini arudishwe katika nafasi yake. Ulaya ameingia ukumbini kwa kelele za wajumbe walipoimba wimbo wa mlete mzungu na wimbo wa mshikamano. Dakika chache kabla ya kuingia kwa...
  15. D

    Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

    Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya! Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja! Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
  16. Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

    Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU. Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
  17. Mambo yaliyoleta Vita KUU Ulaya, ni Dhuluma na unfairness!

    Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa deni atakayedaiwa ni Serikali kwa maan ndiye alidhamini na siyo mtu binafsi aliyekopa. Hivyo Serikali...
  18. B

    Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

    Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu wachache tu. Secretary wangu, Katibu,Mwanasheria na Daktari wangu. Hawa watanzania of course sasa...
  19. J

    Timu zote 4 zitakazoingia nusu fainali Kombe la Dunia zitatoka Ulaya

    Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu. Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia...
  20. Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"

    Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi" Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington. Soma: Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ