ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"

    "Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema. Rais wa Ufaransa Emmanuel Muundo wa usalama wa baadaye...
  2. Putin atafuta mbinu nyingine kwa kutuma viungo vya wanyama kwenye balozi 5 za Ukraine Ulaya

    Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za Ukraine kwenye mataifa ya huko Ulaya, ila na huko watapigwa tu.... Ukrainian embassies in at least five...
  3. Ulaya ‘haina nguvu za kutosha’ kukabiliana na tishio la Urussi – Finland

    Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba jukuu katika mzozo wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alidai Ijumaa. Pia aliwataka...
  4. Ziara ya Tundu Lissu huko Ulaya inafaida kwake na kikundi cha watu wachache na si kwa Watanzania

    Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi. Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani...
  5. Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

    Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso. Wameamua kuifanya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi...
  6. Mwaka 1869 ulifunguliwa mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), mfereji unaofupisha safari ya kutoka bara la Ulaya mpaka Asia

    Mwaka 1869 ulifunguliwa Mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), Ni mfereji ambao ulitengenezwa kwa Nguvu ya Binadamu ili Kufupisha safari ya Kutoka Bara la Ulaya Mpaka Asia. Kabla ya kuwepo kwa mfereji huu Safari ya kutoka Ulaya, kwa mfano kutoka Bandari kubwa Ulaya iitwayo Rotterdam huko...
  7. Iliwezekanaje ulaya watu walikufa kwà maelfu kila siku kwà korona halafu kufumba na kufumbua watu wote wakawa hawafi tena?

    Hili swali najiuliza sipati majibu ulaya na Marekani walikufa maelfu kwà maelfu kila siku iendayo kwà mungu halafu kufumba na kufumbua ugonjwa wa korona ukakoma hima? Italy kila siku walikuwa watu wanakufa 5000/day mpaka malori ya jeshi yakawa yanabeba maiti! Marekani jumla walikufa watu karibu...
  8. Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

    Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya...
  9. Demokrasia inazidi kuyamaliza mataifa ya Ulaya

    Kwa kutumia demokrasia watu wenye sifa mbaya kiutawala na ambao wamewahi kuzitiia nchi zao kwenye mizozo wamekuwa wakirudi madarakani kwa kasi.Mmojawapo ni Benjamin Netanyahu wa Israel. Muda wote wa uongozi wake mbali na kuwaadhibu wapalestina alikuwa daima yuko mahakamani kwa shutuma...
  10. I

    Ulaya wana gesi ya kutosha kabisa tofauti na walivyotegemea

    Bara la Ulaya sasa lina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuivamia taifa la Ukraine...
  11. B

    Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania

    26 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania Video courtesy of Azam TV Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi la 26 la vijana kutoa mikoa mbalimbali ya, Tanzania kuonesha uvumbuzi wao pamoja na kazi za...
  12. Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  13. Kwanini vyombo vya habari vya Magharibi havitangazi maandamano yanayoendelea nchi nyingi za Ulaya?

    Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
  14. L

    Bei ya gesi yafikia rekodi mpya Ulaya

    Bei ya gesi huko Ulaya inazidi kupanda na kufikia rekodi mpya, hali ambayo inaziletea nchi za Ulaya wasiwasi mkubwa kuhusu uhaba wa nishati. Ufaransa imeweka mpango wa kubana matumizi ya nishati kote nchini, na kutoa wito kwa wananchi wapunguze muda wa kuoga, na kuzima kabisa vifaa vya...
  15. Punde Ulaya itajitosheleza kwa nishati, nuclear fussion yaja

    UK imeanza majaribio ya kuzalisha nishati kwa kutumia Nuclear Fussion mfumo ambao umekuwepo ki majaribio tu Nuclear fusion plant to be built at power station Yesterday 8:08 PM React| Apower station has been chosen to be the site of the UK's, and potentially the world's, first prototype...
  16. M

    Belarus utadhani Bahi Dodoma kumbe Ulaya

    Mzuka wanajamvi! Mara ya kwanza kuona hii picha nilidhani Bahi, Kongwa huko kumbe ni Belarus Ulaya ya Lukashenko mshirka wa Putin. Yani hapana tofauti na Bukombe na Nyarugusu kwa kina mwamba. imhotep
  17. Rais Yoweri Museven: Wabunge wa Bunge la Ulaya wapunguze ujuaji

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
  18. Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

    Habari zenu wana JF wenzangu, Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue. Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia. Kinachotakiwa ni...
  19. Bloomberg: Umoja wa Ulaya kulegeza vikwazo kwa makaa ya mawe kutoka Urusi

    Bloomberg wanaripoti Umoja wa Ulaya upo mbioni kulegeza vikwazo vya makaa ya mawe kutoka Urusi. NB: Du!
  20. Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…