ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tukio hili linaonyesha ni jinsi gani wenzetu wako civilised na kwamba watawala Ulaya sio miungu watu kama huku kwetu na hii Tulia Ackson inamhusu

    Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa hata pale Waziri Mkuu anapopigwa kwa kukejeliwa na wananchi wa kawaida (sio Bunge wala wabunge)...
  2. Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

    Wasalaam wanajamvi. Jamani kuna jambo linanifikirisha kwa muda sasa, hivi kuna uhusiano wowote kwa vijana wa makamo wanaorudi toka ughaibuni na kufeli maisha? Nimekutana na case Kama tatu hivi ambazo zimenivuruga kichwa. Nitazielezea kiufupi. 1. Katika hekaheka za humu duniani nilikaribishwa...
  3. Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

    Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili kiwa sababu yeye ni mwanamke na ninyi mmezoea viongozi wanaume au ndio hizo...
  4. M

    Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
  5. Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

    Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
  6. Video: Umoja wa Ulaya ma Marekani wanapanga serikali ya mpito Ethiopia

    Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni. Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray. Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
  7. Wapangaji wa chumba kimoja Ulaya zama za Viwanda zilipoanza

    Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
  8. Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

    Wakuu, heshima kwenu.! Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu mada tajwa hapo juu. 1) Kwa muda wote niliopo huku, miaka mitatu sasa, nimesafiri na kutembea maeneo...
  9. Imekuwaje kukawa na bara la Ulaya?

    Ukiangalia ramani unaona kabisa bara la Ulaya na Asia ni vimeungana na kuwa kitu kimoja. Kwa pamoja huitwa Eurasia lakini hatuna bara la Eurasia tuna Asia na Europe. Ilikuaje ikawa hivi?
  10. F

    Tanzania yaongoza Africa kwa unywaji wa pombe nyuma ya mataifa tajiri ya Ulaya

    Top Consuming Country by Alcohol Type Consumption/Capita Czech Republic Beer 6.77L France Wine 6.44L Cook Islands Spirits 7.07L Tanzania Others 6.60L The importance of local crops couldn’t be overstated. Regions like Africa and Asia that struggle with the right conditions for grapes or...
  11. Vikao na viongozi wa Kiafrika huko Ulaya badala ya Wadau wa Maendeleo vya nini tena?

    Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland, ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo, ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake. Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie...
  12. Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  13. Navalny atunukiwa tuzo ya juu ya haki za binadamu ya Umoja wa Ulaya

    Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za binadamu. Katika ishara ya wazi ya ukosoaji kwa Ikulu ya Kremlin, viongozi wa bunge la Umoja wa...
  14. Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

    Habari za muda huu wadau wote wa Jf! Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema. Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa...
  15. Wageni wa Ulaya, America na Asia hupewa thamani kubwa mno kuliko wazawa wa Tanzania

    Video ya utangulizi hii nasisitiza sana uiangalie mpaka mwisho, utapata picha kamili kabla hujasoma hii maada Tangu nimezaliwa hapa nchini ma hadi sasa nikiwa na miaka 31 kuna mengi nimeyaona na kujifunza katika hii nchi, kitu kimoja wapo ni thamani kubwa mno anayopewa foreigner kuzidi...
  16. T

    Makamu wa Rais wa USA hajawahi kufika Ulaya

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais. Hajawahi kufika Ulaya. Hakawahi kufika bara la Australia Hajawahi kufika Africa Amefika South America kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 mwaka huu Viongozi wa Tanzania tunaomba...
  17. M

    Maisha kuwa magumu zaidi: China kuna matatizo ya umeme, Ulaya nako kuna mgao, gesi na makaa ya mawe ni dili kubwa

    Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka. Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
  18. Mauzo ya matunda Ulaya yaendelea kuvunja rekodi Kenya

    Earnings from horticulture recorded the biggest growth among Kenya’s main agricultural exports in the eight months to August, fresh data shows, cancelling out poor performance by tea. An update by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that horticulture earnings jumped by a quarter to Sh87.8...
  19. E

    SoC01 Utegemezi wa nchi za Afrika barani Ulaya, umeendelea kuwa tatizo sugu. Maoni haya yenye tija yatasaidia kupunguza utumwa huu

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje. Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea kutegemea mikopo, misaada na sera za kiutawala na kiuchumi kutoka Mataifa hayo. Utumwa huu usiokoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…