ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Rais wa kamisheni ya Ulaya afika Israel, alaani ugaidi

    Bi. Ursula von der Leyen rais wa Kamisheni ya Ulaya European Commission https://m.youtube.com/watch?v=Y8VWXACReew Atembelea maeneo ya Kfar Azza kusini mwa Israeli katika moja ya Kibbutz yaliyovamiwa na magaidi wa HAMAS, na kuelezea mambo ya kutisha dhidi ya haki ya kuishi waliotendewa...
  2. R

    Jinsi timu za ulaya zinavyotumia fursa ya masoko

    Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli. Leo Ac...
  3. R

    FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  4. Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  5. Je, ni kwanini Japan tunayoambiwa ina uchumi mkubwa na maendeleo inagandamiza abiria kwenye treni kama viazi ulaya?

    Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video? https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
  6. Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  7. Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  8. Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

    KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN. NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china. Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
  9. Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

    TUMSIFU YESU KRISTU. Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani. China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
  10. Watch: Waafrika wakivamia Ulaya kwa nguvu!

    wakati watanzania wakifurumushwa ngorongoro kwenye ardhi yao huku raisi wa tanzania akigawa mamilioni ya fedha za walipa kodi bure kwa timu za mpira badala ya kutumia fedha kutatua matatizo ya watu huko kwingine afrika hali ni ile ile vijana wa kiafrika waislamu, wakristo waarabu na machotara na...
  11. Ambao hamjafika Ulaya au hata SA!

    Kwa ambao hamjawahi kwenda Ulaya Au hata SA mjiandae na socket hizi za matobo ya duara unlike zile four angle zetu tuzozizoea; na siyo Ulaya tu Yaani nchi zote zilizokuwa colonized na Europeans wengine ambao sio Uingereza ni duara tu iwe Rwanda, Mozambique au nini sijui Yaani UK ndo wametupa...
  12. Magari ya umeme kutoka China hatiani kupigwa marufuku Ulaya

    Baada ya makampuni ya uchina kuteka soko la magari ya umeme duniani kwa sasa. Umoja wa ulaya kupitia kauli iliyo tolewa na Rais wa umoja huo sasa kuja na kampeni maalumu ya kudhibiti utitiri wa ndinga za EV toka China. Bi Ursula Von de Leyen anasema "Global markets are now flooded with...
  13. Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  14. Rwanda imeweza kutangaza Utalii kwenye klabu kubwa za Ulaya (Arsenal na Bayern). Tanzania inakwama wapi?

    Kama Rwanda yenye size ya Mkoa wa Mtwara inaweza kutangaza Utalii wake kwenye kwa kufunga mikataba ya Utalii na Klabu kubwa kama Arsenal na sasa Buyern Munich, hivi Tanzania inashindwa wapi? Halafu unawasikia wale wanaojiita Viongozi wa Wizara eti wakisema Tanzania itafikisha watalii mil.5...
  15. Waangalizi wa Umoja wa Ulaya wadai Uchaguzi wa Zimbabwe sio Huru na Haki

    Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura. EU EOM imeongeza kuwa kulikuwa na ukamataji wa kutumia nguvu wa Waangalizi 39 wa Mashirika ya Kiraia ambao...
  16. Hivi Ulaya kuna utaratibu wa kuulizwa jina la balozi wa mtaa/mtendaji kata, diwani au mbunge ili kuthibitisha kama ni mkazi wa sehemu husika?

    Nikiwa narudi zangu ghetto imebidi nipite shortcut bahati mbaya nimekosea njia nakujikuta napita njia ya kwenda uhani kwa mtu sio mzuri kwenye vichochoro vya mjini sasa wahusika wakaanza kuwa na mashaka na mimi. Wakaniweka mtu kati nakuanza kuniuliza maswali with confidence nikawaelezea kuwa...
  17. Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  18. Tetesi za usajili Ulaya kabla ya dirisha kufungwa Septemba 1, 2023

    Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (21) kwa Pauni Milioni 115 (Tsh. Bilioni 364) ambaye pia anawaniwa na...
  19. Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
  20. SI KWELI Katika muhula wa kwanza wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haikuwahi kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa nchi yoyote

    Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe. Palikuwa pana ukweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…