Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana
Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana
Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa
Wangemweka Nyerere...
Zab 121:6 SUV
[6] Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.
Kwa Waisraeli kwao jua kali lilihusiana na hatari ya joto kali na upungufu mkubwa wa maji, ukisoma andiko hili ukiwa kwenye nchi au eneo lisilo na jua kali, unaweza usielewe sana. Lakini Waisraeli walielewa sana madhara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.