GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana

Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana

Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa

Wangemweka Nyerere rumande na hakuna mtu angemsaidia

Nchi hii haifanani na nchi nyingi za Africa

Kule Kenya Kuna Maumau
Kule Congo Kuna Maimai
Kule Burundi Kuna intarahamwe
Kule Rwanda na Uganda Kuna Banyamulenge bongo Kuna nani
Jibu ni HAKUNA

Nchi hii imepata uhuru wa kisiasa mezani na hata uhuru wa maamuzi kwa wote utapatikana mezani

Mnaojidanganya kama kesho Kuna mtu atandamana mwajidanganya Tena sana

Tena SI kwasababu ya vitisho vya jeshi la polisi no
Hakutakuwa na mandamano kwasababu SI utamaduni wetu

Nchi ilikofika kweli inahitaji ukombozi wa kifikra lakini sio kwa style ya vurugu tutulie tujipange kwa mazungumzo.
 
Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataketwa na mandamano wamefeli vibaya sana

Maumau ilianzaje ndugu, haikuwa na chanzo

"Newton's third law simply states that for every action there is an equal and opposite reaction"

Kuna siku haya ya sasa tutaona matokeo yake hata tusipo kuwepo sisi kuna vizazi vitaone hii cause ya sasa. Kikubwa ni haki then amani baadae
 
Utulivu unakuja keshoo
1000167205.jpg
 
Maumau ilianzaje ndugu, haikuwa na chanzo

"Newton's third law simply states that for every action there is an equal and opposite reaction"

Kuna siku haya ya sasa tutaona matokeo yake hata tusipo kuwepo sisi kuna vizazi vitaone hii cause ya sasa. Kikubwa ni haki then amani baadae
Ni kweli lkn SI ktk utamaduni wetu hizi vurugu
 
Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataketwa na mandamano wamefeli vibaya sana

Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana

Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa

Wangemweka Nyerere rumande na hakuna mtu angemsaidia

Nchi hii haifanani na nchi nyingi za Africa

Kule Kenya Kuna Maumau
Kule Congo Kuna Maimai
Kule Burundi Kuna intarahamwe
Kule Rwanda na Uganda Kuna Banyamulenge bongo Kuna nani
Jibu ni HAKUNA

Nchi hii imepata uhuru wa kisiasa mezani na hata uhuru wa maamuzi kwa wote utapatikana mezani

Mnaojidanganya kama kesho Kuna mtu atandamana mwajidanganya Tena sana

Tena SI kwasababu ya vitisho vya jeshi la polisi no
Hakutakuwa na mandamano kwasababu SI utamaduni wetu

Nchi ilikofika kweli inahitaji ukombozi wa kifikra lakini sio kwa style ya vurugu tutulie tujipange kwa mazungumzo.
bwana ni bwana ndo nani? mmeo?

Kama bado unawalinganisha wa TZ Wa enzi za nyerere na wale hii basi ulichokisoma shule hakijakusaidia kitu na ni hasara kabisa.
 
Ungetulia ungeelewa
Mkuu hakuna ulichokiandika hapo huwezi kulinganisha wakati wa nyerere na sasa ni vitu2 tofauti mbali mnooo.Hata tusipoandamana au tuandamane haipo siku tutaendelea kuwa hivihiv eti nyerere alipewa kisiasa.....

Sikia hata kipindi cha nyerere watu walikuwa hawatekwi kama leo hii.

KUMBUKA SHIDA/MATATIZO HULETA MAARIFA!!
 
Mungu mwenyez huliacha jambo Moja lifanikiwe ili kutoa mwanya wa tafakuri
Je Mwenyezi Mungu hawezi kuachia maandamano yafanikiwe ili kutoa mwanya wa tafakuri??
 
Mkuu hakuna ulichokiandika hapo huwezi kulinganisha wakati wa nyerere na sasa ni vitu2 tofauti mbali mnooo.Hata tusipoandamana au tuandamane haipo siku tutaendelea kuwa hivihiv eti nyerere alipewa kisiasa.....

Sikia hata kipindi cha nyerere watu walikuwa hawatekwi kama leo hii.

KUMBUKA SHIDA/MATATIZO HULETA MAARIFA!!
Na maarifa Bora hupatikana mezani
 
Ukitulia utanielewa
sisi(Tanzania) sio wapekee sana hapa duniani kiasi ya kwamba yanayotokea duniani kwingine hayawezi tokea hapa kwetu. ndo mana hata ufisadi uliopo kwingine hata kwetu upo...so kama kila kitu kina athari basi hilo haliwezi kukwepeka in any how. Dunia haiwezi kuacha kuzunguka sababu wewe umegoma kuzunguka nayo.
 
Kuna Process / Means (how to get what you want) na kuna what you want (Kile unachotaka au kutumia process / mbinu yoyote ili ukipate)

Sidhani kama tumeshagundua kwamba kimojawapo sio necessarily prelude ya kingine..

Na kwenye hili sio sisi tu ni wengi ulimwenguni kama Wadau wa Social Contract baina ya Wenye Nchi na tuliowapa dhamana ya Kututumikia na wao kugeuka kama Watawala....

Na wanaokosea kwa hili sio watawaliwa bali watawala wanaoshindwa kutumia msemo wa kula na Vipofu - Kila jambo lina wakati wake na wimbi la vuguvugu za sintofahamu litaendelea (sio Tanzania tu bali duniani kwa ujumla) kama suala la kuhakikisha watu wanapata ujira wa kuweza kupata basic needs halitatatuliwa basi ya French Revolution yaliyowaondoa Aristrocrats yatajirudia...

NB: Tanzania tungepata mtu mwenye vision tungefika mbali sana sababu kwenye equation ya mahitaji ya maendeleo (tunao watu safi ambao sio wabishi) ni walamba asali, wachumia matumbo na wanasiasa 2.0 ndio wanatuangusha; na kwa muendelezo huu tutapoteza hata hio advantage ya kuwa na watu Safi (kwa kutengeneza Magaidi wasion na Huruma)
 
Back
Top Bottom