Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana
Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana
Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa
Wangemweka Nyerere rumande na hakuna mtu angemsaidia
Nchi hii haifanani na nchi nyingi za Africa
Kule Kenya Kuna Maumau
Kule Congo Kuna Maimai
Kule Burundi Kuna intarahamwe
Kule Rwanda na Uganda Kuna Banyamulenge bongo Kuna nani
Jibu ni HAKUNA
Nchi hii imepata uhuru wa kisiasa mezani na hata uhuru wa maamuzi kwa wote utapatikana mezani
Mnaojidanganya kama kesho Kuna mtu atandamana mwajidanganya Tena sana
Tena SI kwasababu ya vitisho vya jeshi la polisi no
Hakutakuwa na mandamano kwasababu SI utamaduni wetu
Nchi ilikofika kweli inahitaji ukombozi wa kifikra lakini sio kwa style ya vurugu tutulie tujipange kwa mazungumzo.