Najua hili sio jukwaa la uchumi ila kutokana na unyeti wa jukwaa hili maana naamini ndio jukwaa linaloongoza kutembelewa zaidi na watu mbalimbali mmoja wapo Mimi
Sasa kama mada inavyojieleza, kutokana na hali halisi ya maisha na ugumu wa ajira nilipata mchongo flani ambao salary yake ndo hiyo...
CCM ni chama cha ukombozi, na vyama vingi vilivyopigania Uhuru wa nchi zao havipo tena madarakani lakini CCM bado ipo tu.
Yafuatayo ni baadhi ya michango iliyosababisha CCM iendelee kubaki madarakani:
1. Haina ubaguzi mkubwa wa wananchi wake: Baada ya uchaguzi kwisha Hakuna tofauti kimaisha...
Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.
Naitwa...
Inafahamika kuwa umasikini ni ukosefu wa chakula, makazi, mavazi, huduma za afya na mahitaji mengine ya msingi kwa sababu ya kipato duni. Licha ya fursa zinazopatikana kutokana na maendeleo ya teknolojia, umasikini hivi leo ni moja kati ya matatizo makubwa kabisa yanayoukabili ulimwengu. Katika...
Wakuu nisipende kuwachosha
Ila inasikitisha sana kuona ikulu ambapo Nyerere aliwahi kusema kuwa ni mahala patakatifu imebadilika na kuwa pango la walanguzi.
Leo ikulu hapafanyiki tena mikutano ya kujadili mikataba ya madini,utiaji saini miradi ya maendeleo n.k Bali imekuwa sehemu ya kufanya...
Haya ndiyo maisha ya takriban 70% ya Watanzania. Bado tunapigana na maadaui tuliowarithi kwa Wakoloni miaka 60 imiyopita Ujinga, maradhi na umasikini.
Mtoto anaezaliwa katika nyumba hii anategemewa akue salama, fikiria changamoto za kudhibiti mbu katika nyumba hii na uepukane na malaria...
Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), umemalizika hivi karibuni mjini Senegal, Senegal. Mkutano wa mwaka huu ni muhimu sana kwasababu umeonesha hatua kubwa zilizopigwa katika miongo miwili tangu mkutano wa kwanza ufanyike mjini Beijing mwaka 2000.
Wakati ushirikiano...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha.
Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
Habari zada huu
Naomba moja kwa moja niende kwenye mada maana nina ushahidi pia licha ya kwamba kama upo wanajamvi mnaweza kuuweka
Katika pita pita yangu humu jf nilikutana na reply moja na ukuu "maeneo mengi ambayo CCM inanguvu ni masikini sasa"
Moja kwa moja ikabidi nianze kuangalia maeneo...
Kwa wale waliosoma Civics watakumbuka aina mojawapo ya familia ya "extended family" ambayo kwa kiswahili kisicho rasmi ni aina ya familia pana inayokusanya watu wengi zaidi ya wazazi na watoto wao. Hii ni familia inayohusisha watu wengine wengi wasio watoto wa mwenye familia.
Vijana wengi...
Wakuu habari zenu,
Naomba usiache kuchangia kwenye uzi huu ili niweze kupata msaada wa kukabili changamoto nazopitia.
Case yangu iko hivi: Nina uhitaji wa kiasi cha pesa kisichopungua milioni 30. Pesa hii sina uwezo wa kuipata kwa pamoja based on my job monthly income.
Lakini Kuna sense of...
BILL GATES AFAFANUA KWANINI BINTI YAKE HATAOLEWA NA MASIKINI:
Mwandishi mmoja wa habari katika kikao kilichofanyika Marekani alimuuliza Bill Gates.
Je, angekubali binti yake kuolewa na masikini? Bill Gates alijibu kama ifuatavyo:
"Kwanza kabisa, elewa kuwa utajiri haimaanishi kuwa na akaunti...
Ni kwanini masikini huwa wanafurahi sana wakiona tajiri kapata matatizo?Nafsi zao zinasuuzika sana wakiona tajiri kapata majanga! Yaani roho fulani hivi za kichawi.
Yaani badala wajifunze kwa waliofanikiwa wao kwao ni furaha eti "tumefanana".
Si ajabu kuwakuta sehemu wamekaa wakiteta kwa...
Kulingana na Benki ya Dunia, kati ya Watu milioni 88 hadi 115 wanasukumwa katika Umasikini kutokana na Janga la CoronaVirus, na wengi wanapatikana Nchi za Asia Kusini na Kusini mwa Jangwa la Sahara
Makadirio yanaeleza Mwaka 2021, idadi hii inatarajiwa kuongezeka kati ya milioni 143 na 163...
They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna...
UMASIKINI CHANZO CHA MASWAIBU.
Tarehe 21/07/2021 usiku wa sikukuu ya Eid-el-Hajj, ambapo baada ya shamra shamra za mchana katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Mnamo saa tano usiku tukiwa tunarejea nyumbani tukaona gari imenasa kwenye mchanga na watu wakifanya jitihada za kulinasua...
Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na kuamka katika mafanikio ya utajiri na jamii yenye kipato.
Ndimi mwandishi wako Ndugu jeef george JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.