umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jini mtuu

    Jinsi ya kuukaribisha umasikini

    JINSI YA KUUKARIBISHA UMASKINI 1. ENDEKEZA USINGIZI Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. USIPANGILIE MATUMIZI Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiisha kaa chini na jifikirie umezitumiaje. 3. USIWEKE...
  2. K

    Usafi ni utamaduni sio umasikini au utajiri

    Nikuwa kwenye boma la familia yangu huko Ununio nikajiuliza. Kwanini kuna uchafu wa mazingira wakati watu wana uwezo? Ukweli ni kwamba usafi ni utamaduni na sio uwezo au hata siasa. Usafi inabidi uwe utaratibu. Hata kwenye familia yangu binafsi kwenye hilo hilo boma moja kuna familia moja kati...
  3. Part Asifiwe kilen Malila

    Zifahamu mbinu za kuondoa umasikini katika familia 👨‍👩‍👧‍👦

    Umasikini ni tatizo kubwa hususani ktk mataifa yanayoendelea kama Tanzania. Sababu za umasikini ni ujinga,maradhi , uzalishaji hafifu ktk shughuli za kiuchumi kama kilimo, viwanda na biashara. Vilevile umasikini husababishwa na mfumo mbovu wa elimu. Hoja zifuatazo zitaeleza kuhusu mbinu za...
  4. BestOfMyKind

    Umasikini na ongezeko la mishahara

    masikini ni yule anayejitahidi kutokuonekana masikini. Akipata 10000 akanywee pombe 7000, elfu 3 anunue vocha na chai kesho yake Akipata elfu 5 anunue chakula cha elfu 3, vocha mia 5 na hela ya daladala Hali hii ipo wired kwenye akili za watu katika makuzi. Umezaliwa hivyo na utakuwa hivyo...
  5. S

    SHAKA: Uamuzi wa kuwapanga Wamachinga usiwape Umasikini Wananchi

    Na Mwandishi Wetu, Kutoka Babati. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uamuzi wa serikali kuwapanga vyema wafanyabiashara wadogo hauna lengo la kuwatia umasikini bali kuwajengea mazingira mazuri ya kujiongezea kipato. Amesema kutokana...
  6. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  7. ACT Wazalendo

    Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    "Unanuka umasikini Fuu! Toka hapa"

    "UNANUKA UMASIKINI FUU! TOKA HAPA!" Anaandika, Robert Heriel Wikiend hii nikasema niende kwenye Club za kishua Huko nikajipatie chombo mpya, pisi ya kishua. Nikasema hata Mimi Taikon ninastahili pisi Kali za kishua, msije mwambia Shemeji yenu wapi na nini nilienda fanya. Nikajitazama kwenye...
  9. K

    MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

    Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla. Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini...
  10. Equation x

    Umasikini ni tabia inayotakana na uwezo wako wa kufikiri

    Kama uwezo wako unafikiri kidogo, ata katika kutatua changamoto zako zinazokuzunguka utazitatua kidogo; na hatimaye utakuwa masikini. Kama wewe ni muajiriwa, na umerizika kuwa na chanzo kimoja cha mapato; yaani mshahara, mfano wa laki 5; na unautumia mshahara huo wote na kuishia kwenye matumizi...
  11. Makirita Amani

    Kama unataka kuondoka kwenye umasikini, waepuke masikini kama ukoma

    Rafiki yangu mpendwa, Hivi unajua ya kwamba umasikini huwa unaambukizwa kama magonjwa yanayoambukizwa? Ndiyo, hiyo ni kweli kabisa, pale unapokaa na masikini, wanakusababisha uendelee kubaki kwenye umasikini. Huenda kwa kusoma sentensi hizo chache umejisikia vibaya, umenichukulia mbaguzi na...
  12. Makirita Amani

    Umasikini ni laana kubwa, tuungane kuutokomeza

    Rafiki yangu mpendwa, Baba wa taifa la Tanzania, Mwl J. K. Nyerere, baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni aligundua hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Baada ya tafakari ya kina, akagundua licha ya wakoloni kuondoka, bado kulikuwa na maadui wakubwa watatu walioendelea kuwepo na ambao ndiyo...
  13. OLS

    Je, Rais yuko sahihi kuhusu umasikini?

    Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa kula matunda na asali ambayo hawanunui. Hivyo ukiweka kifedha inawezekana wanatumia gharama kubwa...
  14. The unpaid Seller

    Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

    .
  15. D

    Umalaya na Umasikini ni kulwa na doto

    Habari wadau wangu wa nguvu mlioko humu. Leo naomba kuwajulisha siri hii chungu kumeza! SINA MAANA Kwamba Masikini wote ni Malaya HAPANA! Hapa namaanisha Umalaya na Umasikini ni mapacha wanaopendana! (kulwa na doto) ikumbukwe kwamba siyo kila Doto atatokana na mapacha, Lakini waliowengi ni...
  16. BigTall

    Vijana Mradi wa YAM wapewa darasa walime parachichi, watatoka kwenye umasikini

    Mkulima Mjasiriamali wa Kilimo cha Parachichi Katika Kijiji Cha Igoda Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Aidan Kiwale amewataka vijana kutoka mazingira magumu ambao wapo kwenye mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Parachichi kwa kuwa kinalipa. Mkulima mdogo wa...
  17. L

    Macho ya China yahama kwenye ufadhili wa miundombinu na kuelekezwa kwenye kutokomeza umasikini katika Afrika

    Wakati ushirikiano baina ya China na Afrika ukiendelea kuwa wa karibu zaidi, mipango mbalimbali ya kutokomeza umasikini na kuleta maendeleo kati ya pande zote mbili imeingia katika hatua mpya. Ni kutokana na mtazamo huu ndio maana Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC lilianzishwa...
  18. B

    Tujadili uhusiano Kati ya t-shirt mpya kuvaliwa juu ya shati chafu na misaada kutumika kupamabana na umasikini tunapoangazia mapokezi ya Mhe. Rais

    Nampongeza Mhe. Rais kutamka adharani Kwamba amekwenda ulaya kurejesha mahusiano yaliyoaharibika Kati ya Tanzania na Nchi za Ulaya. Amewaonyesha kamati ya kusifu na kupongeza Kwamba walilitendea vyema tumbo wakaacha Nchi ikiwa na matobo. Pili nimpongeze Kwa juhudi anazofanya, natambua amekuta...
  19. kali linux

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya starehe za bei rahisi na kuongezeka kwa umasikini, the reverse is also true

    Hello bosses Hapa duniani nadhani moja ya kitu kibaya na chenye madhara makubwa ni umasikini, hasa hasa umasikini wa kiuchumi tukiweka pembeni ule wa kiakili. Umasikini ndio uongeza chuki kwenye jamii, husababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe na maswaibu kibao. Kuna vyanzo vingi vya umasikini...
  20. beth

    Februari 20: Siku ya Kimataifa ya Haki za Kijamii (Social Justice Day)

    Haki ya Kijamii Humaanisha uwepo wa Haki sawa kwa watu wote na uwezekano wa kila mtu, bila ubaguzi, kufaidika na Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Duniani kote Ni mtazamo kwamba kila Mtu anastahili Haki na Fursa sawa. Baadhi ya Haki za Kijamii ni pamoja na kushiriki Uchaguzi, Usawa wa Fursa za...
Back
Top Bottom