Ndugu zangu miaka ya 1960s kipindi tunapata uhuru wetu, Uchumi wetu in terms of GNP tulikuwa sawa kabisa na nchi kama Vietnam, Thailand, Singapore, Malysia, Uchina na Korea Kusini.
Kwa kipindi chote hicho hakuna chama chochote cha upinzani kilichoingia madarakani na either tukakitupia lawama...