umbali mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  2. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Usidharau hatua zako ndogo bali ziunganishe kwa nidhamu ili upate umbali mrefu

    Kama wasemavyo maisha ni hatua ndivyo ilivyo japo inahitaji nidhamu na subira ya juu sana kuunganisha hizo hatua ili upate umbali mrefu. Ukimuona mtu yupo mbali kwenye jambo fulani kuna uwezekano mkubwa alianza na hatua ndogo ndogo ambapo zikiwekwa pamoja ndio huo umbali alionao sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaotembea umbali mrefu kwa Miguu au wafanya Mazoezi ya Kutembea kwa Miguu hufaidika na yafuatayo?

    1. Hawazeeki upesi 2. Huwa ni Wakakamavu 3. Hawaugui hovyo 4. Huishi muda mrefu 5. Upumuaji wao (siyo Kujamba) huwa mzuri 6. Miili yao huwa na Mvuto 7. Uwezo wa Akili huongezeka Nayasubiri kwa bashasha zote Majibu yenu ili basi nami GENTAMYCINE kuanzia Kesho nianze Ratiba ya kutafuta kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mfahamu mwana dada aliyedondoka umbali mrefu toka kwenye ndege bila parachuti na kupona

    Mpaka leo hakuna rekodi wala kutokea kwa binadamu kutoka kwenye ndege na kuanguka ardhini na kupona. Historia hii ina muangukia mwadada Vesna Vulović.mpaka kumuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya dunia. Mnamo tarehe 26 Januari 1972, Vesna Vulović alikuwa mhudumu wa ndege kwenye ndege ya JAT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…