Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi.

Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta nikilazimika kutembea kwa miguu kutoka Kisesa hadi Buhongwa.

Safari, ambayo sikuwahi kudhani ningeweza kuimudu mwaka huu, imebaki kuwa kielelezo cha ustahimilivu wangu.

Sikuwahi kufikiria kama kuna siku naweza tembea Zaidi ya Km 21 plus ndani ya jiji mwanza huku nikiwa sina hela mfukoni.
 
Back
Top Bottom