Serikali, kupitia Msemaji wake Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kiufundi kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme nchi nzima iliyotokea jana na jinsi ilivyoathiri huduma za treni ya kisasa (SGR)
"Najua wengi mmetikiswa na tatizo lililojitokeza jana. Tulipata hitilafu kwenye gridi ya taifa...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema lipo mbioni kuanzisha mkoa maalum wa kiutendaji ili kushughulikia changamoto za umeme katika Reli ya Kisasa (SGR).
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamohanga, amesema hayo leo Machi 26, 2025 jijini Dodoma wakati akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.