Serikali, kupitia Msemaji wake Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kiufundi kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme nchi nzima iliyotokea jana na jinsi ilivyoathiri huduma za treni ya kisasa (SGR)
"Najua wengi mmetikiswa na tatizo lililojitokeza jana. Tulipata hitilafu kwenye gridi ya taifa...