MBUNGE NGASSA: " WANA IGUNGA KWA SASA TAIFA LETU LINA UMEME WA KUTOSHA"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Ameendelea na Ziara Jimboni kwenye ngazi ya chini ya Utawala ya Vitongoji huku atokia ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa Wananchi pamoja na;
1. Kutoa mrejesho wa...
Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari-0746373222.
Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua.
Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua...
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida kabisa.
Kuna mzungu Arusha USA River anazo na jana nilibahatika kufika kwake nikakutana nazo. Yeye...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi katika vijiji ambavyo tayari vimefikiwa na miradi ya usambazaji umeme ili kuleta tija.
Kapinga ameyasema hayo tarehe 1 Julai, 2024 wakati alipokagua miradi ya umeme...
NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33
Mikoa itakayoathirika...
Kichwa cha habari chahusika.
.Imenishangaza sana leo kuona tren tuliyoitegemea kuwa italeta ukombozi kwa Watanzania, imekuwa kero kubwa.
Nimeingia kwenye tovuti yao ili nikate tiketi ya Moro to Dsm ya siku kesho jumapili nilichokikuta ni treni imejaa .
Haijulikani wamefunga mabewa mangapi...
UTANGULIZI
Kumekuwa na changamoto kubwa sana katika sekta yaAfya hususani kitengo chakusafirishia wagonjwa kwa kutumia Ambulance, hii ni kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa juu zaidi na kupelekea matokeo mabaya hata vifo wakati mwingine.
Hivyo basi kutokana na ukuaji wa teknolojia dunia...
SULUHISHO LA MGAO WA UMEME, ITAKAYOPUNGUZA GHARAMA NA MGAO
Tatizo la umeme Tanzania limekuwa na viswahili vingi kutoka kwa Mamlaka na ni changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa miundombinu ya kutosha ni moja ya sababu kuu, tumekuwa tukitegema vyanzo vichache...
Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
Waziri Dotto Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri mMkuu ameituliza sana Wizara ya Nishati iliyokuwa imeharibiwa vibaya kwa ufisadi na January Makamba. Foleni za kugombea mafuta hazionekani tena pia upatikanaji wa umeme umeimarika mno.
Kama kuwa na Wajomba nje ya nchi ni kosa hata Rais Samia ana...
Baada ya Bwawa la umeme kukamilika tunaomba rekebisheni bei za umeme kwa watu wa kawaida. Sisi watu wa kawaida napendekeza unit 1 kwa tshs 100 bila ukomo. Au wekeni umeme kama mabando ya simu ili mtu awe na uhuru wa kuchagua maana kuna wakati mtu kuhitaji umeme mwingi kwa shughuli maalum...
Duniani kote nchi zilizoendelea zinategemea uwepo wa nishati bora katika kufanya shughuli zake, nchi maka Marekani, Urusi, china na nyinginezo zimeendelea kwa sababu ya ubora wa nishati wanayoitumia.
katika miaka ya hivi karibuni nchini Tanzania kumekuwa na jitihada mbalimbali za kusaidia...
CHANGAMOTO.
LUKU kuisha kwa na umeme kukatika pasipo watu kuwa na taarifa
SULUHISHO
kuunda mfumo wa KIELECTRONIC utakao gundua LUKU kuisha na kutuma sms kwa mteja mfano kiasi Cha LUKU kilicho Baki ni 5% kumpa angalizo pasipo kuangalia umeme mwenyewe
Kuunda mfumo wa kutuma control number kwa...
Sifa
Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).
Muaminifu na mchapakazi
Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.
Hakuna malipo.
Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa.
Dkt Biteko ametoa taarifa hiyo tarehe 14 juni 2024 wakati akizindua taarifa za...
Jipatie chanuo la umeme kwa bei nafuu ya Tsh 45,000 tu
Bidhaa hii inatatua changamoto zifuatazo:
1. Kuzuia nywele kuwa ngumu:
• Inafanya nywele kuwa laini na , hata katika hali ya hewa yenye unyevunyevu.
2. Kung’arisha Nywele:
• Inaongeza mng’ao kwenye nywele, hivyo...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.