Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi?
Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali...
TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme.
Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Wiizara ya Nishati kupitia TANESCO kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme ikiwa ni jitihada zake za kuhakikisha wananchi katika maeneo yote wanapata umeme...
TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
Katika press conference mwaka 2010, wakati iPhone 4 imetoka, Steve Jobs alivyoulizwa kama Apple wana mpango wa kutoa simu kubwa alijibu "no one is going to buy a big phone", akiamini kwamba size ya 3.5 inch ni perfect kwa simu. Muda huo ilikua kijembe kwa Samsung S1 iliyokua na 4 inch.
Kwa muda...
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME
KUZIMWA KWA BUS BAR YA MSONGO WA KILOVOLTI 220 KATIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UBUNGO
27 JULAI, 2024
Shirika la Umeme Tanzania, linawatangazia wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kutakua na katizo la umeme katika maeneo yao.
Sababu: Kuwezesha...
Kampuni ya China ya Cherry wakishirikiana na Xiaomi, wametoa gharama za kununua SUV EV yao ya iCar V23 itauzwa kwa $16,000/= tu.
Ikumbukwe Cherry ni kampuni la magari la China sasa wamejoint na Xiaomi na kutengeneza series ya iCar mbalimbali ikiwemo SUV V23, iCar V25, iCar 03 na iCar GT zikiwa...
Je una mtambo/Mashine /kifaa kilichoharibika mfumo wa umeme au mfumo wa electronic (circuit),ambacho umejaribu kutengeneza ila bado kinasumbua kupona au bado hujajaribu,ila ungetamani kifaa hicho kipone?
Kiwe kimeharibika mfumo wa umeme"Electrical or electronics default" na sio "machenical...
uhuru
dar24.comJul 21, 2024 5:14 AM
Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO, Mkoa wa Pwani limefanikiwa kufikisha Umeme katika kisiwa cha Chole kilichopo Wilayani Mafia, ambacho hakijawai kuwekwa Umeme tangu uhuru kwa kuupitisha chini ya Bahari.
Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati Meneja wa...
Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kusainiwa kwa mkataba.
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri...
Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo
Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana
Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi...
UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE
Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
MBUNGE ASSA MAKANIKA ATOA MSISITIZO KWA MABALOZI KUHAKIKISHA WATU WANAJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika akiwa katika ziara yake ya kuzungumza na Mabalozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo lengo ikiwa ni kuhamasisha...
Je unalipa bili kubwa ya umeme, ambayo unadhani inazidi matumizi yako?
*Nafanya ukaguzi wa mifumo ya umeme kuangalia chanzo cha tatizo.
*Nafanya marekebisho kuondoa tatizo
*Lakini pia kama hakuna tatizo tunatoa ushauri wa kitaalamu juu ya maboresho ya vifaa vyako ili kupunguza gharama za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi (132kV) pamoja na ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme vinakamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.