umeme

  1. Ndagullachrles

    BIL 18. 5 kusambaza umeme K'njaro

    SHIRIKA la umeme nchini(Tanesco),limetoa shilingi Bilioni 18.5 kwa ajili ya utekelezaji wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 135 vya mkoa wa Kilimanjaro . Utekelezaji huo utafanywa na mkandarasi CEYLEX ENGINEERING CO. LTD kwa muda wa miezi 24 kuanzia sasa. Mkurugenzi wa fedha wa Tanesco,Daniel...
  2. HYDROVENTURE

    Kwa shughuli za kiufundi karibu Hydroventure Technical Services tunapatikana mkoani Mwanza

  3. Roving Journalist

    Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi kabla ya Mwaka 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
  4. T

    Tanzania ichukue maamuzi magumu ijenge kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe

    Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa. Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua. Tanzania inaweza kuzalisha umeme...
  5. A

    MASHAMBA /VIWANJA VYA MAKAZI NA UFUGAJI VINAUZWA MAENEO YA YOMBO MPERA, UMEME UPO.

    Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
  6. Waka Waka

    Mgawo wa Umeme umerudi upya baada ya kukamilika kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere?

    Habari, Hali ya mgawo wa umeme imerejea kwa kasi sana ni wiki tangu kuanza kwa changamoto hii. Ndani ya jiji la Dar es Salaam wilaya ya kinondoni hali sio nzuri. Watanganyika tulijua baada ya Bwawa kukamilika ingekua ni mwarobaini tosha ya kukatika katika huku. TANESCO wilaya wametenga masaa...
  7. Waufukweni

    TANESCO wakata Umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa Maboresho ya Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi

    Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote. Kwa...
  8. F

    Hakuna haja ya kuzalisha umeme wa ziada wakati huu, tuzime mashine za ziada tuhifadhi maji ukame unakuja

    Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja. Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
  9. greater than

    Tanzania inafikiria kununua umeme kutoka Ethiopia

    Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia Chini ya mkakati wa EAPP (Mradi wa kuwezesha nchi za Afrika mashariki kushirikiana na mauziano na usambazaji...
  10. Roving Journalist

    Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  11. E

    UMEME 'KUSHTUKA', TANESCO WATUPE UFAFANUZI...

    Nimetumia neno 'kushtuka' kwa sababu huu si ukatikaji wa umeme uliozoeleka. Kwamba kwa siku za karibuni nimeshuhudia umeme ukikata na kurudi kwa sekunde moja au mbili; na hii imetokea zaidi ya mara tano katika kipindi cha saa 12. Hali hii nimeishuhudia nikiwa nimejituliza nyumbani siku ya...
  12. Darkish

    Hivi bei ya umeme imeongezeka?

    Leo nimelipia umeme na kupata unit chache. Baada ya kufanya mahesabu nikagundua unit moja sasa ni shilingi 379 toka 356, hii ina maana hizo token 60 zimekuja na mabadiliko ya bei pia. Je, wadau ni kweli hata nyie haya mabadiliko ya bei yamewafikia? Soma Pia: Wabunge wataka makali bei ya umeme...
  13. PureView zeiss

    PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

    Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7. Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na...
  14. Webabu

    Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

    Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo. Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
  15. Mad Max

    Ukiwa na EV, kwa umeme wa elfu 40 unatoka Dar hadi Dodoma, na kurudi tena Dar!

    Imagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar. Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila tusiiongelee hapa), inamaana utatumia unit 57.5 tu kuijaza full charge. Na kwa bei ya sasa, unit moja ya umeme...
  16. Mindyou

    Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme

    Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
  17. Mad Max

    Weka gari yako ya umeme itakayompoteza Lucid Air!

    Hii Lucid Air kutoka Lucid Motors, USA, ni chuma na nusu aisee, especially kwa wadau wa executive sedans. Naikubali katika sekta zote tatu kuu, muonekano, technology na performance! Kwa muonekano, chuma inavutia sana, kuanzia nje na ndani. Imekaa kistylish na kisasa ukifananisha na sedans...
  18. Kahtan Ahmed

    Je, haitoshi kusema Rais Samia ameshindwa kuwa bora sababu ya huduma mbovu ya umeme?

    Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta nyingine zina hali gani? Binafsi akili yangu inanituma kusema Rais Samia ameshindwa kwani TANESCO ni...
  19. Roving Journalist

    Adeline Lyakurwa: Ndege alinasa kwenye nyaya za umeme, mafundi wamerekebisha, umeme umerejea Bariadi (Simiyu)

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa ikijirudia tangu wakati kuna Mgawo wa Umeme, ufafanuzi umetolewa na imeelezwa changamoto hiyo imetatuliwa...
  20. Roving Journalist

    TANESCO- Simiyu yatuma Wataalam kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
Back
Top Bottom