umeme

  1. Stephano Mgendanyi

    Kukamilika kwa Mradi wa Umeme Rusumo Kunazidi Kuimarisha Gridi ya Taifa - Kamati ya Bunge

    📌 Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda 📌 Kila nchi yafaidika na megawati 26.6 📌 Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80...
  2. much know

    Bwawa la umeme effect, Baada ya Symbion power sasa ni zamu ya SONGAS kufungashwa virago, Nimeelewa kwanini walikuwa hawalitaki bwawa lijengwe

    Upinzani watasema tutashitikiwa miga
  3. Roving Journalist

    Mradi wa Tsh. Bilioni 8 wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumika kupeleka umeme katika Visiwa 118

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa. Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
  4. J

    KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  5. Mtoa Taarifa

    Umeme unakatika karibu kila siku jamani! Au ndio changamoto za kuondolewa kwa Songas zimeanza?

    Kuna uwezekano wa kwamba kuondolewa kwa Songas kumechangia hali hiyo, hasa kama kulikuwa na utegemezi mkubwa kwenye mitambo yake ya kuzalisha umeme. Songas ilikuwa na jukumu kubwa katika uzalishaji wa umeme nchini, na kuondoka kwake kunaweza kuleta changamoto za upatikanaji wa nishati kwa...
  6. Roving Journalist

     TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
  7. M

    Kweli nchi yetu bado ni ya ulimwengu wa 3, kwa sababu umeme tu bado ni tatizo

    Ni ndani ya jiji muhimu la kibiashara la Dar es Salaam, lakini umeme unakata bila taarifa je kwa mikoani yawezekana karibia kila siku umeme unakata. Soma pia: Tatizo la umeme mkoani Tabora
  8. Roving Journalist

    Judith Kapinga: Serikali inaunganisha Mtwara na Lindi kwa umeme wa gridi kutokea Songea kupitia Tunduru, Masasi -Mahumbika

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
  9. Trainee

    Napendekeza mfumo wa umeme ushughulikiwe na TANESCO pekee

    Sijui heading ipo sawa au laa ila ninachokusudia ni zile process za kuvutia umeme majumbani. Huwa sipendi kubahatisha nikauliza mtu wa TANESCO kuhusu umeme nikaambiwa cha kwanza piga wiring ndipo ujaze fomu. Nimejaza fomu online napiga simu TANESCO huduma kwa wateja nijue hatua inayofuata...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    Treni ya kwanza ya Umeme nchini Tanzania

    Kwa mara ya kwanza toka tanganyika na Zanzibar kuungana na kupatikana Tanzania Jana safari ya Kwanza ya treni ya umeme ya kisasa yenye kazi ya kusafirisha abiria ambayo inaitwa Electric multiple Unit kwa jina maarufu ni Treni ya mchongoko. Ilianza safari toka Dar Es salaam, Morogoro mpaka...
  11. Influenza

    TANESCO, Songas zamaliza Mkataba wa Uzalishaji Umeme. Serikali yagoma kuendelea na mkataba kulinda maslahi ya nchi

    KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS ljumaa 01 Novemba, 2024 Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji...
  12. Mzee Wa Kale Kabisa

    Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika. TANESCO mtuweke wazi ili tunavyopanga ratiba zetu na ninyi tuwajumuishe na mipango yenu ya kukata...
  13. J

    Tatizo la umeme mkoani Tabora

    Hivi hili tatizo la umeme mkoani Tabora litaisha lini? Hawatoi taarifa kwa wananchi nini kinachoendelea, wanaukata wanavyotaka na wanaurudisha wanavyotaka, mbaya zaidi ukipiga simu makao makuu Tanesco. Watoa huduma hawawi wazi, wanajibu tu ooh kuna hitilafu, hatukatai hitilafu kutokea ndo...
  14. Mzee wa Code

    Bei ya kunganisha umeme mjadala Bungeni, Wabunge wahoji kwanini haibadiliki?

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya jana Oktoba 29, 2024 katika kipindi cha maswali na majibu wameibana Serikali kuhusu bei ya kuunganisha umeme maeneo ya mijini, ambapo bei hiyo ni shilingi 320,000. Akijibu swali la Mbunge wa Korogwe, Timotheo Mzava, Naibu Waziri Judith...
  15. Roving Journalist

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga: Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa Kilometa 1. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Maimuna Mtanda Mbunge wa Newala...
  16. Roving Journalist

    RC Kanali Patrick Sawala: Serikali imefikisha umeme katika Vijiji vyote 785 vya Mtwara

    Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika Kijiji cha Makome A ambacho ndio kijiji cha mwisho kuunganishwa...
  17. T

    INAUZWA American fridge, good condition inatumia umeme kidogo bei 1.6m

  18. Apollo one spaceship

    Nataka kuweka umeme kwenye godown

    Nataka kuweka umeme kwenye godown langu la kuhifadhi nafaka. Je wiring ya mwanzo inakimbilia kwenye laki tano au mafundi wananipiga
  19. Mookiesbad98

    Mahakama Kuu Yasitisha Mkataba Wa Mabilioni Kati ya Serikali ya Kenya na Adani Energy Solutions

    Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha mpango wa serikali wa kuipa kampuni ya Adani Energy Solutions Limited kutoka India kandarasi kubwa ya usambazaji wa umeme, kufuatia wasiwasi kuhusu mchakato wa zabuni. Ijumaa, mahakama ilitoa agizo la kuzuia mkataba wa Sh95.68 bilioni ($740 milioni) baada ya...
Back
Top Bottom