umeme

  1. Yoda

    Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

    Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua! Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
  2. profesawaaganojipya

    Fundi umeme wa mitambo viwandani, induction furnaces,overhead na cranesetc

    Mimi ni fundi wa umeme wa mitambo mbalimbali ya viwandani na majumbani,kama matanuru ya umeme ya kuyeyushia vyuma,kama ya viwanda vya nondo(INDUCTION FURNACES),OVERHEAD CRANES,MAMBO YA UYEYUSHAJI CHUMA(FOUNDRY) NK,NAFANYA PART TIME,SIYO KUAJIRIWA,,NIPO DAR.
  3. MKATA KIU

    Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

    Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme. Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
  4. Masalu Jacob

    Nyamagana: Tujenge reli za kamba za Gari umeme

    Habari yako Nyamagana ! Mnaonaje pakijengwa Gari Umeme zenye kutumia reli za waya kuzunguka Nyamagana. 1. Hii ianzie Mkuyuni - Igogo - Mrungushi - Sahara (Main Station). 2. Hii ya pili iwe Lango lango - Mabatini - Buzuruga - Mahina - Mahina - Mkuyuni . Oya hii itakuwa sawa sana na mji...
  5. The Watchman

    TANESCO: Nunueni umeme mapema kabla ya saa 5:59 jioni

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku. wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi...
  6. C

    TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  7. Teko Modise

    Kuna mgao wa umeme kimyakimya?

    Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni. Je kuna mgao wa kimya kimya?
  8. D-Smart

    Wazo la biashara kutengeneza Umeme binafsi

    Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge. Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani...
  9. M

    Aunganishiwa na Tanesco umeme bure na atatumia umeme bure baada ya kutoa eneo la kuweka Transfoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limefanikiwa kuingiza umeme na kuuwasha bure katika nyumba ya Bibi Esteli Nyalusi mwenye umri wa miaka 62 ambaye ni mkazi wa kata ya Maguvani halmashauri ya mji wa Makambako ikiwa ni kutoa shukrani kwake baada ya kuruhusu bila vikwazo eneo lake...
  10. D

    Hivi kwanini mwanga wa mshumaa huhamasisha sana yale mambo yetu kuliko umeme?

    Habarini! Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma. Kwenye mada! Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka...
  11. Logikos

    Kama Umeme hautoshi tunajadili PPP ya Msambazaji ili Asambaze nini ?

    Tuliambiwa umeme hautoshi ndio maana kukawa na Mgao, tunaambiwa hata Bwawa likiwa full Capacity (mara mbili ya uzalishaji wa sasa) bado bei hazitashuka sababu kuna mahitaji makubwa ya viwanda n.k. Sasa najiuliza hawa Adani na wengineo ambao eti wameleta ombi la kufanya usambazaji, wanasambaza...
  12. BABA SANIAH

    Hi I Kuna siku tanesco mtaacha kukata umeme?

    Aisee mnazingua Sana yaani daily laza mkate,. umeme .acheni Mambo hizo.mmekata asubuhi mmerudisha saa kumi na mbili.umekaa dakika tano mmekata Tena. Kaeni nap basi msirudishw Tena,milele na milele. Sijui niwatukaneeeeee,,😠😠😠
  13. Roving Journalist

    Morogoro: RC Malima awasisitiza Wananchi kutunza miundombinu baada ya REA kuanza kusambaza umeme katika Vitongoji 166

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5. Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
  14. 5523

    Netanyahu amekanyaga nyaya za umeme?

    Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali...
  15. JanguKamaJangu

    Adani Group kutumia Tsh. Trilioni 2.4 kuwekeza kwenye Umeme Tanzania

    Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817). Mtandao wa India Times umeandika Kamishna...
  16. Mad Max

    BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

    Ndio, haujakosea kusoma. Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG. Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani. Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
  17. Logikos

    Gharama ya Gesi Vs Umeme katika Kupikia kwa Bei za Sasa za Tanzania

    Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi.... 1kg ya Gesi = 13.6kwh (units) Kwenye...
  18. JanguKamaJangu

    Mhandisi Deogratius: Tsh. Bilioni 16.7 kusambaza umeme Vitongoji 150, kunufaisha Kaya 4,950

    Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 150 utakaonufaisha kaya 4,950 mkoani humo. Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA...
  19. Powder

    Elon Musk aachia project mpya iitwayo Tesla Solar Roofs

    Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs. Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo. The game...
  20. GenuineMan

    Nini Maana Ya 123KwH/year Kwenye Kifaa Cha Umeme(jokofu)

    Wakuu habarini. Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption. Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.? Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri. Maswali yangu ni Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda...
Back
Top Bottom