Salamu kwa wote,
Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo,
Twende kwenye hoja ya msingi,
Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama,
Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...