Hello,
Kuna muda hasa utotoni na tukiwa vijana wadogo huwa ni kawaida mtu ajitetee kwa kupigana, Hata wanyama hupigana ili kutafuta haki ama kuonyesha dominance.
Sasa katika mapambano haya kuna muda unakuta huna tofauti na mtu alievamia mtumbwi wa vibwengo, unaishia kuchapika mbele ya hadhara...