umewahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Je, umewahi kujiuliza Tanzania itakuwa wapi kisiasa na kiuchumi miaka 50 ijayo?

    Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali. Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa. Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm. Ikiwa ccm atakuwa na ndoto...
  2. J

    Rais Samia awapongeza Wakenya kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais. Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya...
  3. R

    Umewahi kukumbwa na janga gani chuoni mpaka ukapaona chuoni kuchungu?

    Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na mwalimu wako sababu wote mnamfukuzia binti fulani, kufanya starehe kwa kupitiliza mpaka unasahau...
  4. Umewahi kutana na Fake Recruiters?(RECRUITMENT SCAM)

    Habari wadau, katika harakati za kuendelea kutafuta kazi kuna baadhi yetu ambao tayari wamekutana na hizi kampuni zinazofanya kazi ya kuwatafutia kazi watu, wao wanakua kama agencies, some of them are fake, some are real. tushare experience hapa kwa wale ambao wamewahi kufanikiwa kupata kazi...
  5. Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  6. M

    Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  7. M

    Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

    Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
  8. Je, umewahi kujaribu juisi ya tembele?

    Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara hakuna kabisa hiyo nichakula
  9. Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Uchawi upo ndugu zangu. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga. Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona. Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
  10. Umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?

    Haya ni mabasi mazuri sana, je umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?
  11. umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  12. Kama umewahi kupigwa "changa" na matangazo ya ajira, tukutane hapa

    Mwaka mmoja baada ya kuimaliza kidato cha sita, nilirudi nyumbani kuona hali inaendaje. Ups and downs zilipita za kutosha, hatimaye Mwananchi Communication Limited wakatangaza kuwa kampuni ya ATY kutoka Mafinga ina ajira. Maelezo kiasi na malipo ni mazuri, niende na chakula tu na chakula changu...
  13. Umewahi kujifunza ujuzi gani kupitia Filamu?

    Tuongelee filamu kidogo.. Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa. Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku...
  14. Share hapa ushuhuda kama uliwahi kufikiria / kujaribu kujiua na ulichojifunza kinachoweza kusaidia wengine

    Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua. Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
  15. Umewahi kumpa makavu / kumchenchia bosi wako pale alipovuka mipaka

    Wahanga wengi wa manynyaso ya mabosi ni kwenye kampuni binafsi, biashara za watu binafsi, kuajiriwa kwa baadhi ya wahindi na wachina, n.k Mkasa wangu Kuna kipindi fulani nikiwa mtaani baada ya kumaliza chuo nilipewa connection sehemu ya kujishikiza kampuni binafsi mshahara laki 2, yani...
  16. Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

    Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini. Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi...
  17. Umewahi kula kitu gani ambacho hukuwahi kufikiria pale njaa ilipokukamata kisawa sawa

    Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa chuoni hela yangu ya matumizi kwa mwezi ndani ya siku 10 hivi, nlimpigia simu mhusika aliekuwa akinutumia pesa jibu nlilopewa ni "mbona mapema sana subiri mwisho wa mwezi". Hapo tayari nlikuwa na madeni kadhaa yani kukopa ilikuwa tabu. Basi ikifika mchana nlikuwa...
  18. Je, Umewahi kusumbuliwa na polisi kwenye biashara yako? ulipitia tabu zipi na kama uliweza kujinasua uliwezaje?

    Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana. Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako. Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop...
  19. N

    Umewahi kuona machinjio ya Nguruwe?

    Nyama ya nguruwe, ambayo inajulikana zaidi kama “kiti motó” inaliwa na kupendwa na watu wengi, lakini wanaweza kuwa hawajawahi kujiuliza machinjio ya wanyama hao yako wapi. Si machinjio tu, nguruwe hawaonekani kwenye minada ya kawaida ya mifugo. Huuzwa wapi? Kwa watu wanaoishi nje ya miji...
  20. Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

    Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano. Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…