umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

    2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita. Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo. Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi...
  2. L

    Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo hiyo kwa miaka 22

    Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing 2022 inaendelea, na China imetimiza lengo lake la kuwahamasisha wananchi milioni 300 kushiriki kwenye michezo ya majira ya baridi. Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo...
  3. Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  4. S

    Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba? Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
  5. Alama za kutambua aina za maudhui ya filamu na umri sahihi wa mtazamaji

    Kuna namna nyingi sana mtoto wako anaweza kufikia maudhui tofauti kwa kupitia vipindi vya televisheni na filamu kwa urahisi. Watoto wa kizazi hiki wamekuwa na fursa nyingi zaidi za kutazama maudhui yasiyofaa. Uelewa wa mzazi kuhusu aina za filamu na vipindi vya TV au video za mtandaoni ni...
  6. Siamini kwa umri huu nasingiziwa ujauzito

    Wakuu, Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid. Sasa last week akanipigia simu akaniambia anataka tuzungumze nikamwambia sawa. Madai yake ni kwamba, yeye alikuwa na uvimbe na kuna madawa alikuwa...
  7. L

    Mapenzi hayana umri

    Wapenzi hawa wanatarajia kuoana na kupata mtoto.Mwanamume ana umri wa miaka 24 na mwanamke ana miaka 61, tofauti ya miaka 37.
  8. Gladys Fimbari shahidi kesi ya Mbowe amesahau umri wake?

    Nikiri tu kuwa namfahamu huyu shahidi vizuri, nimesoma nae shule ya msingi na nikafanya nae kazi sehemu. Akihojiwa jana kwenye cross examination na wakili Kibatala alidai ana miaka 36, Tulianza darasa la kwanza pamoja mwaka 1989. Kudai kuwa ana miaka 36 ina maana kazaliwa mwaka 1986/1985 je...
  9. Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

    Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
  10. Ni kweli mapenzi hayana umri?

    Wakuu Mzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu. Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile environment [emoji3][emoji3][emoji3]. Yakishampata asije akaja na Law of the jungle survival for the fittest...
  11. B

    Jenerali Mirisho Sarakikya: Niliteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi nikiwa na umri wa miaka 30

    07 January 2022 Mkuu wa Majeshi wa Kwanza JENERALI SARAKIKYA, Asimulia Alivyoshiriki Kuliunda Jeshi Katika interview hii maalum mhitimu wa chuo tajwa kabisa cha kijeshi duniani cha Sandhurst huko Uingereza, Jenerali mstaafu Mirisho Sam Hagai Sarakikya anaelezea alivyojiunga jeshi mwaka...
  12. F

    Ikiwa Baraza la Mawaziri litavunjwa, Napendekeza Mkuchika kwa Umri wake atamfaa Mama

    Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa. Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri...
  13. Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 ana urefu Wa mita 2.45

    Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 na yeye ndiye mtu mrefu kuliko wote nchini Tchad 🇹🇩 ana urefu Wa mita 2.45
  14. Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

    Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu Nigeria ametupia screenshot ya hamisho la pesa hizo Wawili hao walifunga ndoa 2019 na wana mtoto mmoja...
  15. Baba abaka mwanaye wa umri wa miaka 11 mkoani Manyara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamtafuta mkazi wa Kata ya Magugu wilayani Babati, Frednand Yohana ambaye anatuhumiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 11. Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Benjamin Kuzaga ameyasema hayo leo Jumatatu Desemba 13, 2021 mjini Babati wakati...
  16. Angalia matiti uongeze umri

    Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke? hapana Umekosea ,sivyo unavyofikiria? Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia...
  17. Kuna binti nilimuonesha nia ya kumtaka kimapenzi ila sikumtongoza, tangu hapo akiniona unanikimbia

    Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote, nashangaa sahiv tukikutana anabadilisha njia tusionane, au saa ingine akiniona anakimbia kabisa..Yani...
  18. Wazazi wengi huwaandikisha watoto shule za awali wakiwa na umri wa miaka mitano

    Inawezekana ni kukosa hela au sababu nyingine suala linalofanya wazazi wawapeleke watoto shule wakiwa na miaka mitano ili wakiwa na miaka sita waingia Darasa la kwanza. Hii ni sababu ambayo nimeitoa mimi kwa kuwa Shule za awali nyingi zinamilikiwa na serikali, i.e katika shule 18,554...
  19. Tanzania: Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kufanyiwa marekebisho kuhusu umri wa kuolewa

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa kuolewa. Profesa Kabudi alisema hayo Novemba 18,2021 alipoeleza mafanikio ya wizara yake...
  20. Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza. ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…