Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
Kuna viongozi wananufaika na hizi machine za ku bet ambazo zimesambaa kila mahali.
Kama sio hivyo basi tuambiwe faida ya hizi machine kwa taifa. Kila mahali kuna machine za wachina wanapita kukusanya pesa kila siku pesa badala ya kusaidia kamii inaenda kusaidia hawa wawekezaji fake na viongozi...
Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti.
Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
Muombe Mungu akuzidishie hekima ya kunyamaza kwa yale wanayokutendea, kwani ukiyazungumza yatakupeleka matatani kwakuwa kunawakati ukimya wako ni bora zaidi ya uzungumzaji wako katika kila jambo.
However you cannot stay silent at everything you face, Therefore you need to internalize yourself...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_
Waombolezaji wametoa...
Wasalaamuu....
Dunia inaenda kasi sana, Makosa yalifanyika kufanya "KIIGNILISHI" kuwa lugha ya dunia, Hii inaumiza sana watu ya dunia ya 3 hususani Wananchi wa Kizimkazi.
Juzi niliona "Twita" madaktari wamechachama wanadai pesa ni ndogo wanayolipwa "it might be true" ila nikajiuliza "Dakitari"...
"Stop, O People, that I may give you ten rules for your guidance, in the battlefield. Do not commit treachery or deviate from the right path. You must not mutilate dead bodies. Neither kill a child, nor a woman, nor an aged man. Bring no harm to the trees, nor burn them with fire, especially...
https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka:
TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI
DPP...
Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
Sisi wananchi Watanzania kwa kauli moja tunasema" Tunapenda tuendelee kuishi hivi hivi miaka yote"
Maisha ya sasa tunayoishi bila umeme wa uhakika wala maji ndio maishi bora kwetu.
Huo umeme, maji kwetu hauna umuhimu wowote kazi zetu wala hata hazihitaji kabisa matumizi ya umeme wala maji...
Huwezi msikia padre au Askofu wa Katoliki anasema eti yeye hajazaliwa kupingana na Serikali. Maana yake hata serikali ikisema bomoeni makanisa yeye atasapoti tu mana hajazaliwa kupingana na serikali. Ndo mana watu wenye akili kama akina protease lugambwa tangu awe cardinal hajawahi kusema...
Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara.
Katika...
Anaandika Kenge
Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio bikra. Mapinduzi ya utandawazi yanafanya mambo haya yaonekane ni ya kizamani na yaliyopitwa na wakati...
Naye Eliya akapanda juu mpaka kilele cha Karmeli; akasujudu kifudifudi, akainama uso mpaka magotini.
Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu.*Naye akanena, Enenda tena mara saba.
Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu...
Nilikuwa napendekeza.
Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba.
Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa kuondoshwa.
Uongozi unapaswa kupewa uhuru wa kuongezewa muda wa kuongoza pale utakapo onesha matokeo...
Hakuna kiumbe chochote kisiyojua umuhimu wa makutano katika jamii zote za kiulimwengu pasipo kuwa makutano hakika wengi wetu tunageishi leo yetu ndani miaka 5 ijayo,tusengejua baadhi ya mambo muhimu ya kiuchumi katika matokeo chanya ya ukuwaji wa pato la mwananchi.
Bado tusingejua nini maana ya...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeitaka Jamii kuchukua tahadhari kujilinda dhidi ya uwepo wa kutokea Mafuriko kwenye maeneo mbalimbali Nchini.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Menan H. Jangu amezungumza na...
Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu
Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani
Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya?
Au LIMBWATA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.