Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo.
Maelezo hayo ameyatoa leo na kunukuliwa na vyombo vya habari kikiwemo aljazeera baada ya kupokea taarifa ya idadi...
Rais Xi Jinping wa China na mwenyeji wake Joe Biden wamekutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana yaliyokuwa yanasubiriwa kwa muda mrefu na wadau wengi wa mambo ya uchumi na siasa. Kwenye mkutano huo Rais Xi amemwambia Rais Biden kuwa dunia ni kubwa na ina nafasi ya kutosha kwa nchi hizo mbili...
Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu.
Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba.
Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi.
Nipe mtazamo wako.
Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1.
Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna.
Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo jambo la msingi kuliko kuwaletea maendeleo wananchi.
Vyombo vyote vya ulinzi/ majeshi yote limeweka...
Kuchagua partner au wa kufanana na wewe ni uamuzi wa kibinafsi na inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na mazingira ya familia.
Ingawa kwa uwelewa wangu historia ya familia inaweza kuwa na umuhimu kwa baadhi ya watu, si lazima iwe kigezo pekee.
Mambo mengine kama vile tabia, maadili...
Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?
Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
1. Kuongeza Ujuzi wa Kisaikolojia: Michezo vya kielektroniki, mfano Spin&Win huchangia kuimarisha ujuzi wa kisaikolojia kama vile kutatua matatizo, kufikiri kwa uangalifu, na kufanya maamuzi. Wachezaji mara nyingi wanakutana na hali ngumu ambazo zinahitaji mpangilio wa kimkakati, hivyo...
Mheshimiwa Waziri,
Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao ninawazungumzia.
Biblia inasema Mungu alipendezwa sana na wana wa Isachar.
Sababu kuu iliyo mfanya...
MUHIMU WA KUWA NA HISTORIA YA KWELI YA UHURU WA TANGANYIKA
Kaandika aliyeandika:
"Lakini bado katika kuunganisha vugu vugu la ukombozi, utapungukiwa sana maarifa ukishindwa kujua Mwl. Nyerere ndo alikuwa Master Planner."
Nimejitahidi kumjibu kumueleza ukweli wa historia ya ukombozi:
Kweli...
Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na kurutubisha udongo.
Misitu Katika Ufugaji Nyuki
Zaidi ya 50% ya ufugaji nyuki Tanzania unakua unafanyika...
Na C-Sema
Wakati mwingine, wazazi na walezi tunapata wasiwasi juu ya maisha ya baadaye ya watoto wetu. Tunajiuliza: Watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna gani? Hivi watafanikiwa kielimu? Biashara?
Lakini kimsingi, sisi wazazi na walezi ndiyo watu pekee wenye jukumu la...
Kabla ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964, Zanzibar pamoja na korido lote (km 10) la mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki vikijumuisha visiwa vya Lamu na Mafia vilitawaliwa na Ukoo wa Sultan Sayyid wa Oman.
Sultan aliitawala Zanzibar na mwambao wote kuanzia Tanga hadi Lindi, korido lote toka...
Utangulizi
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga jamii inayosimamia haki, usawa, na maendeleo endelevu. Nyanja mbalimbali za jamii, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wananchi wenyewe, zina jukumu la kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora...
Polisi wa tanzania tumesoma na kusikia malalamiko mengi sana juu yao, mpaka inakuwa vigumu kuanza kutafuta mema yao.
Tunaona kuwa Polisi ndiyo wamekuwa chimbuko la rushwa, imefikia mpaka kuna msemo mitaani "kuingia kwa pesa, kutoka kwa pesa"
katika mema yao machache ni pale tunapoona kwenye...
Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi.
Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo.
Nchi ya India...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.