unyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania INJINIA HERSI, Mtimue Kocha Huyu Kabla Hakujakucha Kesho, Huu ni Unyonge na Udhalilishaji wa kijinsia!

    Wana-JamiiForums na Wana-Yanga wenzangu, Yale yaliyotokea leo uwanjani sio mpira, ule ni udhalilishaji wa kijinsia na unajisiwaji wa nembo ya klabu yetu adhimu! Kuongoza mchezo kipindi cha kwanza kisha unakuja kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia ,ki mbinu na kugeuzwa kipindi cha pili ni...
  2. JamiiForums Tanzania Chid Benz msimamo wake kwa Katambi umeleta gumzo. Jamaa hajaonesha unyonge

    Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  4. JamiiForums Tanzania Kwahiyo CRDB nayo mpaka tarehe ishirini na tisa, acheni uoga nendeni ofisini

    Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu). Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa. Nimepitia comments kwenye page za CRDB...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…