Chid Benz msimamo wake kwa Katambi umeleta gumzo. Jamaa hajaonesha unyonge

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana

Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa jambo lisilo na tija.

Screenshot_2026-09-02-18-42-10-941_com.instagram.android~2.jpg
 
Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana

Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa jambo lisilo na tija.

View attachment 3662005
Katambi hajatoa msamaha, kamwogopa Chid Benz
 
Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana

Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa jambo lisilo na tija.

View attachment 3662005
Unaitaje watu wengi hivyo alafu unawabananisha kwenye kaofisi kadogo kwanini wasingetafuta eneo kubwa lenye hewa ya kutosha.
 
Back
Top Bottom