Walikosa nini?Hii picha imeleta gumzo sana huko Tanzania jinsi ambavyo Chid Benz amesimama kishujaa kabisa mbele ya Bw. Katambi bila kuonesha unyonge hata kidogo. Hii picha imekuwa gumzo kwa watu wengi sana
Wengine wamesema ameonesha kumdharau aliyemwita au ameonesha kutojali pengine baada ya kuona ameitiwa jambo lisilo na tija.
View attachment 3662005