Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato ila kizazi cha Rombo kinateketea.
Baada ya miaka kadhaa ijayo Rombo itakuwa na hali mbaya sana...