uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zile stori za Tanzania ina utajiri wa rasilimali nyingi ni uongo, au kuna shida mahali?

    Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
  2. Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

    Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
  3. Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Habari zenu wakuu, Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi? MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
  4. Usipokuwa muongo nyakati hizi lazima uumizwe

    Natumaini mko shwari Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.. kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo sitaki kuongelea katiba wala mambo ya siasa. Hapa leo ni mambo ya mapenzi tu. Nataka nitoe maoni yangu ambayo moja kwa moja ndo yatakuwa msimamo wa JF bila kujali itikadi. Nitaongelea...
  5. Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

    Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili. Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao wanakabiliwa na mashtaka...
  6. Rais Samia: Sio na kigazeti chako mara uandike Samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli

    Wakuu Asalam aleikum, Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali. Baada ya kauli hiyo vyombo vyote vikawa vya mlengo mmoja na wale waliotaka kwenda kinyume walinyooshwa kwa mkono wa...
  7. BANGBROS kumburuza mahakamani Mia Khalifa kwa Kusema Uongo na Uzushi

    Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BangBros Bwana. Daler Mehndi amesema wanania ya kumburuza mahakamani aliyekua mfanyakazi wao wa zamani MIA KHALIFA kwa kusema uongo na upotoshaji kua alitengeneza $12,000 kwa muda wote aliokua kwenye Tasnia. Daler Mehnd amesema " Mia Khalifa alikua anaingiza...
  8. Tundu Lissu: Acheni kutunga uongo, mshaurini Rais Samia awataje na kuwakamata walionishambulia

    Mwanasheria nguli amekuwa mbogo na kutaka watu kutozua uongo kuwa hamkosoi mama Samia kuwa anakubaliana nae. Bali ametaka watu wamshauri ili waliompiga risasi wakamatwe na kuchukuliwa hatua. Pia ndugu Lissu amedai kuwa kuliko kuzua uongo bora wamshauri mama Samia ili yeye alipwe haki zake...
  9. Kumtambulisha Nusrat Hanje kama mwakilishi wa BAVICHA huko Nyamagana ni uongo wa wazi na ni kumdanganya Rais Samia

    Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi...
  10. Uongo wa Zitto Kabwe

    Fack check Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania. Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni...
  11. Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
  12. Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
  13. Kurudishwa pesa Simba vs Yanga ni uongo wa hali ya juu na haiwezakani

    Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga, katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu. Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu...
  14. Ninakemea uongo, uzushi na fitna kwa Rais Samia. Wote mnaokosoa hamtafanikiwa

    Leo imenibidi niliongee hili ili niae huru kwa maana moyo unauma kuona uongo uzushi chuki na fitna kwa Mama Samia. Ninaona ni kama watu wamejipa ajira ya kudumu ya kukosoa maraisi. Kukosoa sio dhambi Ila inategemea na unachokosoa. Hadi Sasa sijaona kama kuna jambo la kumkosoa Mama Samia...
  15. Nyalandu na uongo wake

    Kaka yangu Lazaro Nyalandu kama wajumbe walikua 30, Lissu akapata 24 ilikuaje ukamgaragaza? Hizi hesabu zako mbona hazifuati formula ya MAGAZIJUTO? Kama Lissu alipata 24 kati ya 30 it means wewe uliipata kura 6. Kwahiyo unataka kutuambia ulimgaragaza kwa kura 6? Halafu kwa maoni yangu nadhani...
  16. Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  17. Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada. Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
  18. CHADEMA wanajua kuwa ni waongo na hawamuogopi hata Mungu kwa kuongopa na wanautetea uongo kwa nguvu zote

    Chadema inajua kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ilishindwa kihalali kabisa lakini kwa tabia hizi hizi za uongo uongo siasa za utapeli utapeli wanataka kulazimisha na kuwaaminisha watu kuwa uchaguzi uliporwa hawa watu ni waongo sana na hawatakiwi kuaminiwa tena. Nilidhani baada ya...
  19. Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

    Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo". Ipo hivi, kuna wadada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…