uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

    Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo. Inatajwa kuwa CHADEMA kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake. Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
  2. Viashiria vya uongo kuhusiana na ISIS, Al-Qaeda na wenzao

    Imeatangazwa kuwa tawi la Alqaeda la Afrika Magharibi linajulikano kama AQIM limemchagua muAlgeria Abu Obaida Yusuf al-Annabi aliyekuwa mjumbe baraza la watukufu wa tawi hilo kuchukua nafasi ya Abdelmalek Droukdel aliyekuwa kiogozi wake aliyeuliwa na majeshi ya Ufaransa mwezi Juni nchini Mali...
  3. Theranos - Utapeli na Uongo ambao hata wasomi wakubwa na wanasanyansi waliuamini

    Mtu yoyote aliyepata kukutana na mwanadada Elizabeth Holmes, atagundua kwamba uwa hapepesi macho mara kwa mara. Mwaka 2016 alipoulizwa, ni kitu gani angependa kuona kikitokea kufikia mwaka 2025. Homes alijibu, "Watu wengi hawakumbana na changamoto ya kuwaaga wapendwa wao." Alimaanisha kwamba...
  4. Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

    Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
  5. Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

    Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu. 1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga...
  6. The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  7. Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  8. Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

    Viongozi wa CHADEMA angalieni maisha baada ya uchaguzi. Kukaa kimya bila kukemea au kukanusha uongo ulioenezwa LISSU alisafiri kutoka KIA Hadi Kawe Dar kwa helikopta bila kupata kibali toka mamlaka ya anga ni Jambo la hatari Sana kwa LISSU na CHADEMA yenyewe. Inajulikana hakuna mahali duniani...
  9. Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

    Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu. Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu. Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa...
  10. Uchaguzi 2020 Gwajima adai Mdee alimuwekea vizuizi Magufuli kupeleka maendeleo Kawe. Je, inawezekana kweli?

    Katika mkutano wa kampeni unaoendelea hapo Kawe, mgombea wa Ubunge wa Kawe kupitia CCM, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amesema jambo fulani la kushangaza. Namnukuu “Rais Magufuli umenishangaza kwenye mambo uliyofanya Kawe hali ukijua ilikuwa ni jimbo la chama cha upinzani...
  11. R

    Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

    Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini. Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe. Maji ya bahari!!! Hii...
  12. CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  13. S

    Tahadhari - Vionjo vitamu vya uongo wanavyotoa wagombea wa CCM

    WaTanzania kaeni chonjo na hotuba za viongozi na wagombea wa CCM,wasikilizeni tu,mkiondoka unakibusu kichinjio huku unajisemea CCM mtanitambua mwaka huu.Chakubanga anakusanya vyombo vya habari na kurusha tumbaku,uongo mtupu,ila jamaa anajua kupangilia kama una akili ya kizezeta unaona kasema...
  14. Uchaguzi 2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Wanabodi, Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
  15. Z

    Rais Magufuli alishasema hatabadili Katiba ili kusalia madarakani. Kwanini Kabwe, Membe, Tundu Lissu mnamenea mnamnenea uongo ?

    Zitto kabwe alichokiandika kwenye Gazette la South Africa (Tanzania’s election: Time for urgent action) ni ni mandalizi ya kuanzisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi. Agenda ya kuwadanganya wananchi eti wasimchague Magufuli kwa kusingizia eti akichaguliwa tena atabadiri katiba ni hoja ya...
  16. Lissu unasema uongo kuhusu Jeshi la Akiba, umesahau au hujui?

    Juzi nilimsikia intern wangu akidai mgambo ni intarahamwe na kuwa hakuna kitu kinaitwa jeshi la akiba. Nimpe benefit of doubt kuwa hajui au kasahau. Ningependa nimumbushe tena kwa picha. Kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha JKT na jeshi la mgambo yeyote aliepitia JKT au mgambo ni askari wa akiba...
  17. Academic weapon, weapon of propaganda, ugonjwa wa uongo ambao wazungu wameuleta Tanzania

    Leo 17:55hrs 06/09/2020 Wazungu walituletea Nuclear weapon ikaua wajapan kule Hiroshima na Nagasaki, Majiji Makubwa mfano wa Tokyo, Majiji ya Hiroshima na Nagasaki yaliteketea ndani ya dakika, dunia ikapoteza mainjia wa daraja la juu, wasomi wa daraja la sita, Maguru wa elimu, Academician wenye...
  18. Uchaguzi 2020 Magufuli, tupe Mchanganuo wa Vituo vya Afya na Barabara ulizojenga, siamini kama vipo

    Tumekuwa na Rais mjanja sana. Jana akiwa singida alitaja miradi mingi ya 2013-2015 kama sehemu ya mafanikio yake Sasa ili nirudishe imani kwake angefanya yafuatayo: 1. Atoe orodha ya majina ya vituo vya afya 487 alivyojenga nchi hii 2. Sekta na mgawanyo wa ajira 6M 3. Barabara na urefu wake...
  19. M

    Uchaguzi 2020 Jackson Kangoye agoma kumuunga Michael Kembaki Tarime, ashangaa undumilakuwili na uongo wa Bashiru na Polepole

    Maumivu ya uteuzi wa wagombea ubunge ndani ya CCM bado unaendelea. Japo wengi hawasemi wazi lakini chini kwa chini kuna mgogoro mkubwa. Katika Jimbo la Tarime mjini, aliyeongoza kura za maoni ni Jackson Kangoye na aliyemfuatia ni Michael Kembaki ambaye ndio aliyeteuliwa kuwa mgombea ubunge...
  20. J

    Rais Magufuli amsamehe Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Rufiji aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu ubovu wa gari la wagonjwa!

    Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu. RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…