Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha
Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini.
Kutokana na hatua...
Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake:
1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya Wokovu
Yesu alisema:
"Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi"...
Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa.
Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine...
Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa.
Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa
Ujenzi na makazi
Biashara na ujasiriamali
Hapa habari mchanganyiko
Jukwaa la picha
Chitchat
Mapishi
Urembo na utanashati.... Lakini nyakati zote sijawahi kupost picha za ubunifu wa maumbo, fenicha na vifaa vya ulimwengu pendwa...
Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
Mimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu.
Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana.
What's your story?
Habari wakuu,
Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje!
Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
Bado nasimamia kwamba Trump na Netanyahu wamechanganyikiwa kuhusiana na wapalestina na hasa Hamas. Wanapenda na wangetamani vita vingekwisha na kutangaza ushindi.Jambo hilo ni gumu kwa sasa na Hamas wameganda bado huko Gaza.
Katika nyakati tofauti raisi Trump na mwenzake huyo wametoa matamshi...
Peace||amani iwe nawe ✌🏾
Achana na ule upande wa pili wa Shilingi(sarafu), noti 💵 inapande tatu ukiachana na zile mbili zinazofahamika.
Upande wa tatu wa noti una picha au alama iliyowekwa na kudezainiwa kwa ustadi wa hali Ya juu kiasi kwamba unaweza usiitambue hiyo alama au usijue kama...
Katika zoezi linaloendelea huko mjini Goma, la kusafisha mji, shirika la msaraba mwekundu, limesema mpaka sasa zoezi la kuzika maiti zilizozagaa mjini linaendelea, na kwamba idadi ya waliokwisha zikwa imefika watu 2500(elfu mbili mia tano). Watu hawa, inasemekana ni wanajeshi wa FARDC na kundi...
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya.
Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
Mpo Salama bandugu!
Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo.
Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu.
Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine.
Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi.
So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo.
Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
Hello all,
Ninapenda kushare nanyi nilivyotibika tatizo la uso kupooza. Ninafanya hivi kumsaidia mtu yeyote ikitokea amekutana na changamoto kama hii.
Niligundua wakati naswaki usiku najaribu kusukutua mdomo unagoma hauna uwezo wa kuhold maji mdomoni nikapata panick attack moja ya heshima...
Picha kwa hisani ya Google.
Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.