Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia.
Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi.
Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka...
Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu.
Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios. Hamtuwezi. Mkienda Wasafi, Clouds, TBC, Radio one, EFM huko kote tumekamata waandishi. Uwezo wa...
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka
Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi...
Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
Habari za Jumapili Wanabodi,
Kati ya maeneo ambayo inawezekana Tanzania hatujaweza kuyatumia vizuri kunufaika kiuchumi basi ni hili eneo la Siasa ya kutofungamana na Upande Wowote
Sote tumeona jirani yetu Kenya anavyonufaika na msimamo wake wa wazi wa kuegemea upande wa Magharibi (West) ambapo...
Habari wakuu,
Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao.
Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!!
po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia...
Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu;
1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya
2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge
3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari.
4. Maduka ya vinyago
5.Wamiliki wa...
Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio kwakuwa eneo lina mgogoro kati ya Mume na Mkewe.
Anayedaiwa kununua eneo hilo amerudi tena na...
aljazeeraenglish
The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.
.
#Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua
nikijaribu kuvuta pumzika nyingi kuijaza kifuani maeneo ya mbavu na kwa ndani nahisi Kama Kuna kitu nakitinesha ila...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid.
Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
Marjayoun- Lebanon.
Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90
Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.
Ukifuatilia kwa umakini...
Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama.
Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku...
Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM.
Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.