upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  2. Tajiri Sinabay

    Tatizo la mdomo kulemaa/kusogea upande huwa linasababishwa na nini?

    Kuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa. Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza kulipata zaidi ya kuwa wamerogwa/wametupiwa majini. Wakuu naombeni majawabu kwenye hili. Kwa...
  3. M

    Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  4. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  5. Nawashukuru Sana

    Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

    Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa . Sitomuelezea Sana maana huyu ndo GOAT wa JF great of all time tangia jamiiforum imeanzishwa huyo ndo mwanachama bora wa muda wote...
  6. Mr Why

    Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  7. The Supreme Conqueror

    Pre GE2025 Godbless Lema kuingia maombini kupata upande sahihi wa kuunga mkono Uchaguzi Chadema Taifa

    MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho. Amesema muda si mrefu ataonesha ni upande gani anaounga mkono kati ya...
  8. Damaso

    Meli ya MV Serengeti yazama upande

    Meli ya MV Serengeti iliyokuwa imefungwa katika gati ya bandari ya Mwanza Kusini imezama upande mmoja wa nyuma majini usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO)na kueleza kuwa MV Serengeti ilisimama kufanya safari zake mwaka 2016 wakati...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande Ule wengi wao Elimu Yao ni tiamaji tiamaji.

    Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
  10. mbenge

    Pre GE2025 Uchaguzi CHADEMA: Aliye kipenzi cha upande unaotia shaka

    Mshikemshike nguo kuchanika unazidi kushika kasi, pale nafasi ya M/Taifa wa CDM inapokwenda kushikwa tena katika kipindi kijacho cha miaka mingine mitano. Miamba wakubwa wawili wamejotokeza kugombea natasi hii nyeti sana ndani ya chama kikuu cha upinzani. Hizi kambi kubwa mbili zinatofautiana...
  11. Yoda

    Mzani wa ubaya ndani ya CHADEMA umeelemea upande wa Lissu!

    Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke. Hata hivyo ni jambo la kusikitisha katika nchi yetu mambo yanabidi kupelekwa hivi wakati mwingine ili mtu apate haki yake tu, ila huo ndio uhalisia...
  12. Trainee

    Upi ni upande sahihi wa kukaa picha kwenye kitambulisho?

    Kulia au kushoto? Au inategemea na aina ya kitambulisho? Kwa mfano vyangu mimi; Cha kazi, cha NIDA na cha... picha ipo upande wa kulia ukiwa unavitazama Cha bima ya afya na vya shule vyote picha ipo kushoto ukiwa unavitazama
  13. P

    Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

    Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
  14. JanguKamaJangu

    KERO Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa kujuana

    Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi hawajali sana kuhusu ‘customer care’. Nilifika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya...
  15. A

    KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  16. OMOYOGWANE

    Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  17. V

    Upande wa pili vipi

    Baaada ya uchaguzi wa serikali za mitaa , nimesikia viongozi toka taasisi za kidini hususa Wakikemea mchezo mchafu uliochezwa na CCM. Sijawahi kusikia kiongozi wa dini ya kiislam akikemea rafu zilizofanya na CCM kwenye uchaguzi. Kama yupo naomba nijuzwe
  18. G

    Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  19. Father of All

    Pre GE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  20. K

    Upande wenye siasa kali unashinda ndani ya vyama vya siasa

    Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda maridhiano wanashidwa na upande wenye misimano mikali mfano Mbowe upande wake unapungua nguvu na...
Back
Top Bottom