upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam. Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika...
  2. Eli Cohen

    Mfundishe mwanao kujua upande mwingine wa dunia kwa kumuonesha chaneli za tv kama nat geo, history, etc sio kila muda ni komasava

    Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake. Anyway sio...
  3. L

    Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  4. E

    Msaada: Napata discomfort upande wangu wa kushoto

    Naomba mnisaidie wadau, Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa ni takribani mwaka sasa kuna maumivu kwenye upande wangu wa kushoto. Maumivu hayo huwa nayasikia...
  5. Nehemia Kilave

    Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  6. uhurumoja

    Simba queens yaondolewa kuwania nafasi kucheza cafcl upande wa wanawake

    Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba "Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko
  7. C

    Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  8. GENTAMYCINE

    Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  9. MAKANGEMBUZI

    Kwanini upande wa kulia na kushoto wa mwili wa binadamu haipo sawa.

    Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini? Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa...
  10. Roving Journalist

    Mwananchi awaambia TESEMA warekebishe haraka mfumo wa ukataji tiketi Busisi upande wa Serengeti

    Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi. Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90
  11. USSR

    Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameangukia pua baada ya mahakama kutupilia mbali rufaa yake. Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu. USSR --- Mahakama ya Rufani imetupilia...
  12. Bull Striker

    Tems Baby ndie Msanii Bomba na Mzuri Kwa upande wa wanawake Africa.

    Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako. Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa wakimfuatilia Sana kila anapo rukia Stage. Kwa Binafsi yangu nimemkubali Sana huyu Dada aje tuu hapa Bongo...
  13. GoldDhahabu

    Labda unahitaji kuongeza ujasiri kidogo tu ili upande viwango vya juu zaidi!

    Sina uhakika kama Kikwete alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mwinyi alipomteua kuwa Mbunge na Waziri, alimfuata na kumwomba amwondolee uwaziri amwachie ubunge. Badala ya Mwinyi kulipokea ombi lake, alimtia moyo kwamba yeye ni kijana mwenye akili hivyo ataimudu hiyo nafasi...
  14. M

    Hashimu Rungwe: CCM hawaminiki Mama, tutashiriki uchaguzi kwa shingo upande

  15. Melki Wamatukio

    Tukifika mbinguni, wanaume safi tutapewa mabikra 72 tuishi nao. Vipi kwa upande wa wanawake?

    Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki? Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
  16. M

    Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

    Risiti zikoje
  17. OMOYOGWANE

    SAIKOLOJIA YA SOCCER: Mwenyekiti ajaye SSC upande wa wanachama atakuwa Muhindi

    Mo ni mbinafsi, Changu ni changu chako ni changu Pesa yake ni yake, ila pesa inayopatikana SSC kama fungu la CAF au NBCPL pia ni yake, Hii ni Falsafa yake, Akisimama ktk camera husema simba ni yake, Ana wajumbe wake kwenye bodi upande wa uwekezaji, Wote ni watiifu kwake, Wote wamejiuzuru...
  18. bullar

    FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

    Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
  19. ndege JOHN

    Hivi kwanini tunasinzia upande wa kulia pekee

    Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo.
  20. Suley2019

    Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
Back
Top Bottom