Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara.
Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu.
Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
Kifungu Cha 8(1) Cha Leaders Funeral Act No. 10 of 2002 Zanzibar kinasema Rais wa Zanzibar atatangaza kifo Cha kiongozi mzanzibar na Bendera kupepea nusu mlingoti. Iwapo Tanzania hawataunga mkono au kuheshimu tangazo la kifo Cha kiongozi wa Zanzibar huenda bendera ikapepea nusu mlingoti upande...
Tunapozungumzia Dark Side, tunazungumzia upande wa giza. Kila unayemuona kwenye ulimwengu huu ana upande wake wa giza ambao hataki watu wengine waufahamu.
Hata wewe unayesoma hapa una upande wako wa giza ambao hutaki watu waufahamu. Ndiyo! Ipo hivyo. Na ndiyo maana huwa ninawaambieni hakuna...
Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi.
Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada...
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.
Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
Aisee
Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu
Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali
Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI...
TAWA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE. RAIS SAMIA WILAYANI SERENGETI, YAGUSA MAISHA YA WANANCHI - DKT. VINCENT MASHINJI
Na. Beatus Maganja
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa...
Ogopa Sana kuishi na mtu mkimya asiye na maneno mengi watu wa aina hii huwa ni wavumilivu Sana na pia huwa na mioyo ya upendo lakini huwa hawapendi dharau
Watu hawa wakigundua una wadharau kitakachokuokoa usiwadhalilishe hadharani ila wakigundua kwamba unawadhalilisha hadharani na wakianza...
Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134.
Tanzania ni...
Habari zenu wana JF.
Husikeni na mada tajwa hapo juu.
Kwa kweli haihitajiki kutumia nguvu kubwa sana kujua kwamba CHADEMA na Mbowe wamekuwa sauti ya Watanzania kulingana na hali ilivyo.
Kuanzia miswada batili yenye Lengo la kuwanufaisha viongozi walioko madarakani pamoja na watoto wao hadi...
Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi.
Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia.
Na kitu kingine nikiwa...
Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za watumiaji. Jionee.
Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika
Husika na kichwa cha habari,
Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT
Umeongeza fursa hasa upande wa M2M.
Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona fursa zinazokuja na hasa kwenye nyanja ya M2M
NB: Founder wa openAI alianza kujifunza ML and AI...
Katika vitu ninavyoviona vya ajabu basi ni tuhuma zinazomkabili Keshas.
Keshas huduma zake kwa ujumla ni gharama sana, kupunguza tu tumbo tu peke yake ni laki 9 lakini cha ajabu kila kukicha wateja wanazidi kumiminika kwake kuanzia wateja wa kawaida mpaka wale V.I.P mfano mmojawapo ni Zari the...
Salaam, Shalom!
Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.
Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa...
Habari
Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19
Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo
Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo
Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
Wagonjwa wana haki zao. Nchi nyingi duniani kama Denmark, Hungary, Japani, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza wanayo maandiko ya kitaifa ambayo yanaainisha haki za mgonjwa. Maandiko kama hayo yanaelezea haki za kila mtu/mgonjwa anayehitaji huduma za tiba ili kulinda hadhi, utu wake na heshima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.