Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi.
Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
AMANI ya Bwana iwe nanyi.
Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage...
Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea.
Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
.
Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
.
Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc.
.
Karibuni Wakuu.
=======
01' Mtanange umeanza Benjamin...
Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini utagundua ana madini mengi sana.
Anachambua mpira kwa data, uhalisia na ukweli. Huwa namfatilia sana kila jumapili pale AzamTv kupitia kipindi cha Sports AM chini ya Mahamoud Bin Zubery.
Haya yaliyotokea jana kwa Simba, Azam na Yanga alishayaongea toka ratiba...
Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli
Watu wengi wamekuwa na kasumba hii......
Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu
At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
Dunia inaenda kasi sana !
kihistoria dunia ina pande mbili kinzani yaani mrengo wa kulia na mrengo wa kushoto kisiasa,kiutamaduni,kiuchumi n.k
Mwaka huu tunashuhudia mpamnano mkali kati ya pande hizo mbili.
Hakuna anayeujua undani wa vita hii kwa jicho letu kama Tanzania zaidi ya historia...
Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini ,
ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
Brethren,
NB: Msiniombe reference kwa vile huu ni uchambuzi na maoni binafsi mimi babu yenu kwa kushirikiana na marafiki zangu wa karibu (Hawapo JF), kwa lengo la kupeana tahadhari.
Ni hivi; Utafiti ulioufanywa kwa miaka miwili mfululizo imegundulika huko mtandaoni ni mizaha mingi bila nia...
Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi.
.
Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
Nianze na hili, Kwa shilingi elfu Moja unapata SMS za Wiki zipatazo 5000 na Kwa elfu 2 unapata SMS za mwezi 9000.
Maajabu, Mmeweka Ukomo wa Kutumia SMS hizo, yaan Kwa siku Mteja wenu atumie SMS 300 tu, kiwe ni kifurushi cha wiki au mwezi.
Tafasiri yake Kwa Mteja wa Kifurushi Cha wiki Sms...
UTANGULIZI
Elimu ni nini ?
Ni ujuzi wa utambuzi wa jambo na uwezo wa kuwa na maarifa juu ya jambo fulani na kuwa na mbinu stahiki ya kuhamisha maarifa hayo katika utendaji yakaleta matokeo chanya kwa jamii.
Sera ya elimu ya mwaka 2014 inaeleza katika Dira yake ni pamoja na kuwa na Mtanzania...
Tembea upande wa kulia wa barabara,
ili uweze kuyaona vizuri na kupishana na magari yanayotoka unakoelekea na iwe pembeni sana iwezekanavyo.
Upande utakaotembea itakusaidia wewe kuliona gari vizuri au vyombo vingine vya usafirikama vile pikipiki, bajaji na kuweza kukuepushia na madhara...
Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango..
Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa..
Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed
Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto!
Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery".
Wakati huo huo wale...
Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina.
Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa.
Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu.
Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.