Bwana Yesu asifiwe wakuu, wasalaam waleikum
Uzi huu kwa namna yoyote sihamashi ndoa za mabinti wadogo bali ni kuwekana sawa tu kwamba katika zama za kale tamaduni hazikuruhusu tu upande wa Mohammed kwa kiasi kikubwa waarabu kuoa mabinti wadogo bali ni hata kwa waisrael na mababu zetu wa hapa...
Hapa nchini kumekuwa na fikra kwamba kaskazini kote ni ngome imara ya upinzani kwa majimbo karibu yote ila kwa tunaofahamu vizuri hiyo kanda tuko tofauti kidogo. Ni kweli wapinzani wamesimika mizizi kwenye baadhi ya majimbo ila mengi hayako imara kusimama na upinzani kwenye chaguzi zote.
Kwa...
KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU.
Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari...
Barcelona iliyoundwa na Valdes golini.
Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal.
Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta.
Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Leo Messi, David Villa na Thiery Henry.
Pia benchi unawakuta akina Pique, Keita, Pedro, Bojan, na...
Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni.
Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
Wakuu mimi natumia Boksi ya UFI kwa kweli pamoja na sifa mbovu za hili boksi nimefanikiwa kufufua simu kadhaa na kuua simu 2 nikijaribu kutoa MDM nikiwa najifunza na kuamsha simu zilizokufa animefanikiwa chache tena zile brand kubwa kwa kuwa sina wateja wengi tatizo ni kwa hizi simu zetu tecno...
Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
Baada ya kusikia habari za mtanzania aliyeuawa vitani nchini Ukraine akipambana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine nilishangazwa sana na kujiuliza, ilikuwaje?
Maneno mengi nikaanza kusikia kabla ya siku ya leo serikali kutoa taarifa ya kilichotokea. Kuna wengine walidai ni mwanafunzi...
Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha.
CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye.
Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Ikitokea ghafla unakuta watu hawa wanapambana mtaani. Bila kujua chanzo cha ugomvi ni nini. Je utamsaidia nani?
1. Traffic vs Dereva yeyote yule
2. Traffic vs Mwanajeshi
3. Traffic vs Raia yeyote yule
4. Traffic vs Askari
5. Askari vs Mwanajeshi
6. Askari vs Raia yeyote
7. Askari vs Mwanajeshi...
Kwa sasa Makolo wanafurahia haya yanayoendelea Yanga ila nawashauri wafurahie pia pale jeuei ya pesa za Azam zitapotumikia dhidi yao.
Tetesi ni zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kwenda Azam na hapa ndio utajua nguvu ya pesa inataka kutumika kuwavuruga Yanga.
Ubora wa Yanga unawatesa sana watu...
Habari wadau
Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu,
Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip?
Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate,
Natanguliza shukrani zangu
Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
Wakuu mimi ni fundi simu, changamoto niliyoona kwa spear za simu bongo feki ni nyingi sana na hiyo nimegundua baada ya kuanza kuagiza baadhi ya spears AliExpress.
Nikagundua bongo feki nyingi, inafanya wateja wapoteze uaminifu na sisi maana anaona kama umefanya kusudi kumbe la hasha ni soko...
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura...
Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea.
Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko!
Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni...
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.