upeo mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

    Ndugu zangu Watanzania, John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka...
  3. JamiiForums Tanzania John Mrema ni Mwanasiasa mwenye upeo mdogo sana wa ufahamu.

    Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo . Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA. Anaulizwa atoe tafsiri ya neno "No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wana tatizo la uelewa na ufahamu (upeo mdogo). Hii inawapa mwanya wajanja kuwatapeli kirahisi

    WATANZANIA WENGI WANATATIZO LA UELEWA NA UFAHAMU(UPEO MDOGO). HII INAWAPA MWANYA WAJANJA KUWATAPELI KIRAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Jambo rahisi kama kuwapotosha Watañzania waliowengi. Yàani katika Jambo rahisi Kabisa unaloweza ukalifanya kwèñye nchi ya Tanzania basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…